Alama hizi za bra zinatokaje?

Alama hizi za bra zinatokaje?

Pole mdada. Mi ushauri wangu kama inawezekana punguza matumizi ya hiyo nguo au tafuta nguo flani hivi inabana matiti na haina mikanda ya begani.

Huwa najisikia vibaya sana mwanamke akijiona tofauti na wenzake maana huwa mnapoteza kujipenda na pia kujiona sio mwenye sifa za uanamke.

So fanya hivyo tafuta nguo inayobana matiti ila haina mkanda. Na zipo shindria/ brazia ambazo hazina mikanda. Ushauri wangu huo mamangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana kaka!nachukua ushauri
 
Mbona inatoka hiyo huo hilo ni joto tu jitahidi kuvaa zile zisizo na hivyo vikamba , maana kuna demu nilikuwa nae alikua nayo

mpuuzi mpuuzi tu
 
Habari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia

Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tu😒😒😒😒😒!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !
mi starii ina sisimua njoo niangalie na yako
 
Wala sijawahi

Yani hata picha haiji kabisa ya mwanamke kunitaka
mie niliwah tongozwa bwana😁😁😁..alikua mdada mtu mzima jm 40 hv amedivorce .sasa sikua namwelewa...anamanisha nn..kila siku ananiambia ww ktoto ww una mapaja mazuri sana na kalio zuri bas napotezea..akaanza nialika kusomea kwake kwake..tukiwa tunasoma ananipapasa mapajani mie sijui kitu kbs..kuna siku akasema aniunganishe niwe model wa kutangaza chupi..mh nikaogopa ..khaa..akaja akaniambia live hahaa nilikuwa naota mandoto mabaya...nw ameolewa tena sweden
 
Back
Top Bottom