Alama hizi za bra zinatokaje?

Alama hizi za bra zinatokaje?

Ziache tu hizo alama, maana maendeleo hayana chama

Sent from my iPhone using JamiiForums

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 tunavyoelekea uchumi wq viwanda😂😂😂
 
mhhh sio kwel bwana
Kuna mafuta yanaitwa lukman ni mazuri sana kurudisha ngozi katika rangi yake ya kawaida, hata mtu aliengua moto akiwahi kuyatumia katika stage ya mwanzo hua yanafuta kovu na rangi inarudi kama mwanzo.

Maendeleo hayana chama
 
Hayo mafuta yanapatika maduka ya vyakula
 
Back
Top Bottom