Alama hizi za bra zinatokaje?

Alama hizi za bra zinatokaje?

[emoji16][emoji16][emoji16]nahis huelew..yaan mm mgongon na bagan imechora kbs jaman..eti unavutiwa[emoji16][emoji16][emoji16] mm hapana nimeanza zichukia..maana janq dingi aliniona akamuask mkewe[emoji16][emoji16]nilijisikia ovyo[emoji58]
Bado unaishi kwenu! We usivae hizo vitu ili matiti nayo yapate hewa poa ila inaonekana una mtindi wa kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
izo mistari mi demu wangu alitoa na vumbi la majivu alikuwa anachanganya na limao sikuzionaga tena japo nilikuwa nazipenda mimi
 
Habari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia

Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tu😢😢😢😢😢!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !
Mimi sio mdada ila namuona gf wangu hupaka mafuta ya cocoa butter na baby oil. Husema inaondoa uwasho na alama za mwilini


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom