Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu njia ya Dar-Moshi hizo alama zipo kibao!Hiyo ya barabara kuwa na traffic iko Tanzania?
Sijawah kuzionaMkuu njia ya Dar-Moshi hizo alama zipo kibao!
Wadau na mimi nisaidieni kujua maana ya hiyo alama ya kulia kichwa kilichopitiwa na mstari mwekundu.. kwa tafsiri nilifikiri ni sehemu ya watu wasio na akili timamu kuwa na tahadhari..
Hiyo ya barabara kuwa na traffic iko Tanzania?
Mkuu njia ya Dar-Moshi hizo alama zipo kibao!
Siyo alama ya trafficSijawah kuziona
Mkuu njia ya Dar-Moshi hizo alama zipo kibao!
Kama kweli huoni yule demu shombeshombe ulimpataje ?Hii sio haki ... Mbona hawajaweka za sisi tusioona
Jana ndo nmekua kipofuKama kweli huoni yule demu shombeshombe ulimpataje ?
Hiyo ni alama ya matahira mkuuSijapita hiyo njia na private car, lakini njia ya Morogoro kwenda Iringa hadi Mbeya nimepita sana sijaiona, na traffic ni wa kumwaga.
Tukionana ngoja nijaribu kuzuga km nataka kukutwanga kichwa nione km hujatoka ndukiJana ndo nmekua kipofu
Hiyo ni alama ya matahira mkuu
Huwekwa baadhi ya sehemu tu mfano shuleni kwao
Sina miguu ... Utakua umenioneaTukionana ngoja nijaribu kuzuga km nataka kukutwanga kichwa nione km hujatoka nduki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aahaha ... Ndo maana kuna jamaa juzi aliponiona navuka hafu kuna hiyo alama ... Alisimamisha gar na akarud nyumaHiyo ni alama ya matahira mkuu
Huwekwa baadhi ya sehemu tu mfano shuleni kwao
Utakuwa kipofu muda si mrefu.Siku hizi ukijinenea tuu,Mungu anakupaJana ndo nmekua kipofu
Aahahaah hujaelewa ... Wewe ... Basi mimi ni rais wa jamhur ya muungano wa tanzaniaUtakuwa kipofu muda si mrefu.Siku hizi ukijinenea tuu,Mungu anakupa