Alama ya maziwa kwa mwanaume ina kazi gani?

Wanaume hatuna maziwa kwa sababu hatunyonyeshi. Labda aseme zile Chuchu ndogo kifuani kwa mwanaume na sio maziwa
Safi sasa hebu fanya kujibu hilo swali baada ya maboresho yako...hizo chuchu ndogo kwenye kifua cha mwanamme zinakazi gani?[emoji87]
 
Tafakari kwanza Clitoris/Kiharage/Kisimi kwa mwanamke ni alama ya nini?

Ukipata jibu ndiyo utaweza pata picha mwanzo binadamu anavyoumbwa...


Cc: mahondaw
 
Mkuu ulipokuwa unatumia pesa kwa fujo kisa pasaka ulihisi ndo mwisho wa Dunia,

Una safari ndefu sana mpaka mwisho wa mwezi,

Kesho utakuja kuuliza makalio yana kazi gani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Daaaaa naimiss sana jamii forum ya miaka ya nyuma ambapo ilikuwa mtu akileta mada yake inachambuliwa na great thinkers, lkn leo imekuwa ni upuuzi tu sijui hivi vitoto vimeingilia humu.
 
Ninatumaini Pasaka ndio imeisha kwa usalama,

Napenda kujulishwa kitaalamu hasa kwa waliobobea katika masomo ya baiolojia kipengele cha viungo na matumizi yake (anatomy and physiology).

Hivi alama za maziwa/ matiti kwa wanaume yana kazi gani hasa?
It should be noted that development of baby sex starts from female ndo mana male wanakua na nipples. Kwaiyo before 6 weeks of pregnancy kama Y chromosome itakuepo bac jinsia ya mtoto wa kiume itaanza kujitengeneza ina maana clitoris itakua penis n.k na ataendelea na dev ya male sex. Ndio maana b4 16- 20 weeeks of pregnancy inakua vigumu kutambua huyu ni male au female baby kwenye ultrasound.
 
Wengine wanapenda kunyonywa kabisa, sasa sijui wao yaliwekwa labda kwa starehe tu hata sijui
 

Indeed, nipples are made before the expression of the gender chromosomes so they appear in both males and females (Kwa sababu chuchu/maziwa yanatengenezwa kabla ya Kromosomu inayochombeza jinsia haijaanza kuchacharika na kufanya kazi, ndio maana chuchu/maziwa) yanapatikana katika jinsia zote mbili.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…