Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Alama ya maziwa kwa mwanaume ni ishara kuwa mda wowote unaeza kubadilika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume hatuna maziwa kwa sababu hatunyonyeshi. Labda aseme zile Chuchu ndogo kifuani kwa mwanaume na sio maziwaMaziwa kifuani kwa mwanamme yana kazi gani?
Safi sasa hebu fanya kujibu hilo swali baada ya maboresho yako...hizo chuchu ndogo kwenye kifua cha mwanamme zinakazi gani?[emoji87]Wanaume hatuna maziwa kwa sababu hatunyonyeshi. Labda aseme zile Chuchu ndogo kifuani kwa mwanaume na sio maziwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu ulipokuwa unatumia pesa kwa fujo kisa pasaka ulihisi ndo mwisho wa Dunia,
Una safari ndefu sana mpaka mwisho wa mwezi,
Kesho utakuja kuuliza makalio yana kazi gani
Jibu lipo hapa!!...[emoji115]Kila MWANAUME kuna UANAMKE ndani yake... {X Y}
Bado naendelea kucheka tu...Mkuu ulipokuwa unatumia pesa kwa fujo kisa pasaka ulihisi ndo mwisho wa Dunia,
Una safari ndefu sana mpaka mwisho wa mwezi,
Kesho utakuja kuuliza makalio yana kazi gani
Yani hata una hasira vipi au uwe kauzu namna gani ila ukikutana na comments za hivi utajikuta unacheka... ndo raha ya Jamii ForumAlama ya maziwa kwa mwanaume ni ishara kuwa mda wowote unaeza kubadilika
It should be noted that development of baby sex starts from female ndo mana male wanakua na nipples. Kwaiyo before 6 weeks of pregnancy kama Y chromosome itakuepo bac jinsia ya mtoto wa kiume itaanza kujitengeneza ina maana clitoris itakua penis n.k na ataendelea na dev ya male sex. Ndio maana b4 16- 20 weeeks of pregnancy inakua vigumu kutambua huyu ni male au female baby kwenye ultrasound.Ninatumaini Pasaka ndio imeisha kwa usalama,
Napenda kujulishwa kitaalamu hasa kwa waliobobea katika masomo ya baiolojia kipengele cha viungo na matumizi yake (anatomy and physiology).
Hivi alama za maziwa/ matiti kwa wanaume yana kazi gani hasa?
Mkuu mbona kama io usanemu ya jinsia ya kiumeha ha ha umetuita wadada vuzi huoni kama ni tusi ndio maana nimekwambia mwenyewe
KunyonyeshaMaziwa kifuani kwa mwanamme yana kazi gani?