Alan Shearer awabeba Manchester United kwenye utabiri wake

Random

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
791
Reaction score
742
Hivi karibun gwiji wa mpira wa miguu wa miaka ya nyuma aliebuka na least yake ya top 4 ya lig kuu uingreza kabka ya msim kuanza, ametabir kua man u ndio atakaebeba ubingwa mcm huu wa 2017/18 wakifuatiwa na tim kama Man City, Arsenal na Chelsea accordingly. Huku liverpool na totternham akiwaomba wamsamehe kwa kua wao wanapambania nafas ya tano na sita

Wako wachambuz wa soka kimataifa walioafikiana nae na wako waliompinga, anyway, kubwa zaid alichoegemea ni historia ya mourinho kua mcm wa pili kwa kila club anayohamia basi anabeba ubingwa, usajil ni sababu ndogo sana..

Kwa gemu ya leo man u wameshinda 4 dhidi ya swansea ikiwa ni gem ya pili kucheza na gemu ya pili kushinda, Je utabir wake utakuja kweli kwa moto huu walioukoka man u?

et al
 
tukisema utabiri wake ni kweli nasisi tutakua watabiri vilevile,so acha tusubiri May,2018 afu ndo ulete huu uzi,its too early to say
 
Hivi karibun gwiji wa mpira wa miguu wa miaka ya nyuma aliebuka na least yake ya top 4 ya lig kuu uingreza kabka ya msim kuanza, ametabir kua man u ndio atakaebeba ubingwa mcm huu wa 2017/18 wakifuatiwa na tim kama Man City, Arsenal na Chelsea accordingly. Huku liverpool na totternham akiwaomba wamsamehe kwa kua wao wanapambania nafas ya tano na sita

Wako wachambuz wa soka kimataifa walioafikiana nae na wako waliompinga, anyway, kubwa zaid alichoegemea ni historia ya mourinho kua mcm wa pili kwa kila club anayohamia basi anabeba ubingwa, usajil ni sababu ndogo sana..

Kwa gemu ya leo man u wameshinda 4 dhidi ya swansea ikiwa ni gem ya pili kucheza na gemu ya pili kushinda, Je utabir wake utakuja kweli kwa moto huu walioukoka man u?

et al
Afya yake ya akili haipo sawa
 
Back
Top Bottom