Alan Walker, msanii wangu bora wa EDM

Alan Walker, msanii wangu bora wa EDM

Nina playlist ndefu sana ya huyu mtu na nyimbo zote mlizozitaja humu ninazo kimsingi hata mimi namkubali sana huyu mwamba,kanifanya nimjue mwanadada anaitwa sofia Somajo na kuanza kumfuatilia,huyu dada nae ni nuksi sana
Jaribu kuziforward mkuu tuzichote.namkubali sanaaa hasa kwenye faded
 
Back
Top Bottom