Alarm as Buildings Keep Collapsing in Nairobi, Westlands. Building Collapse, Workers Trapped as Tragedies Rise

Alarm as Buildings Keep Collapsing in Nairobi, Westlands. Building Collapse, Workers Trapped as Tragedies Rise

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Wadau, things are getting serious in Nairobi. Another building imeanguka Westlands Wednesday night, na workers wanne walikuwa trapped inside a site under construction.

According to Kenya Red Cross, wawili tayari wameokolewa salama, lakini wengine wawili bado wako chini ya debris. Rescue operations bado zinaendelea, but mpaka sasa status yao haijathibitishwa.

Sasa hii si incident ya kwanza.

Recently, Kericho County kulikuwa na similar collapse mtu mmoja alipoteza maisha na watatu wakaokolewa. Serikali na emergency teams walikuwa on the ground, but bado damage ilikuwa kubwa.

Na bado, ndani ya Nairobi yenyewe, Shauri Moyo watu wanne walifariki after a building collapsed during demolition along the Nairobi River. Hii ilikuwa part ya Nairobi River Regeneration Project, lakini clearly kuna issues kwa implementation.

Sasa swali kubwa wadau:

1) Mbona buildings zinaendelea kuanguka hivi?

2) Is it poor construction standards?

2) Corruption kwa approvals?

3) Lack of proper inspections? Because at this rate, watu wanaishi na kufanya kazi kwa buildings ambazo haziko safe.

Authorities wanapaswa kuwajibika juu hii si normal tena. Leo ni workers, kesho inaweza kuwa families.

Source: citizen digital
 
Ndhani Kenya ndio nchi inayojenga majengo kwa viwango duni zaidi duniuani. saruji zao nadhani ni udongo tupu usiokuwa na madini ya CALCIUM SILICATE HYDRATE
 
Back
Top Bottom