Alarm clock kwa ajili ya mtu mwenye ulemavu wa kusikia

Alarm clock kwa ajili ya mtu mwenye ulemavu wa kusikia

AccomplishedEntrepreneur

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2020
Posts
507
Reaction score
878
Ndugu na dada,
Naomba kuuliza kama alarm za hivyo zipo hapa bongo au ni mpaka kuagiza nje.

Kama zipo naomba kuelekezwa namna ya kuzipata and the price.

Yeyote anayezifahamu kindly share. Sio lazima iwe specific kwa mtu asiyesikia ila necessarily ya kuweza kumstua kwa vibration ya kutosha or any other means.

Sauti/volume haina msaada kwa mtu wa aina hiyo.

God bless thee
 
Back
Top Bottom