Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nadhan na hii yangu ni hyohyo,maana kitabu chake cha manual kina mambo meng had najiulizaga hiv hii ikitokea ika mulfunction inakuaje,si ndo mambo ya kuzima gat huku inatembea,maana ina mambo meng,yaan hata kama mtu kaichkua naweza nika izima huku inatembea,halaf pia,ina ma panick alert kibao,..anyways sina uhakika lakin,Achana na Alarm weka Tracking device
Isijekuwa umeweka gia zako sehemu ya neutral badala ya packing [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]mlango nmekuta haujafungwa vzur ila nmeufunga fresh tu lakin bado had mda huu,tatzo lilelile
Imegoma na gar haitak waka,ila alarm inapiga kelele za kufa mtu,..yaan hapa nme disconnect battery ndo imenyamaza ila nikiunga battery tuu kelele mwanzo mwishoIlishanitokea. Zima gari kabisa toka nje na ulock kwa alarm. Then unlock alafu washa gari uondoke zako ....
Kama kuna kitu hakipo sawa itapiga tu keleleTehtehte,ngoja nkaangalie tena maana nilishachoka nkaingia ndan nilale had kesho,hahahah,ngoja nkachek