Albam ya Marioo "The Kid You Know" yapata Streams Milioni 100 Boomplay

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Mkali wa Bongo Flava, Toto Bad a.k.a Marioo ameshare picha ya Plaque kutoka Boomplay zikionesha idadi ya watu usikilizwaji wa albam yake pamoja na wimbo wa Mi Amore ambao umepata streams Milioni 30.

Ni rekodi nyingine ya Wasanii wa Tanzania kuvunjwa kwa Afrika Mashariki baada ya Rayvanny kufikisha Streams Milioni 100 mwaka 2022.

 
Her hongera zake mtunga nyimbo alieamua kuigiza kuimba hatimaye ameng'ara kwenye uimbaji kuliko katika uandishi
 
Kweli bado tuna safari ndefu, huko duniani 100m ni streams za wimbo mmoja kwa siku chache tu.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…