Albatros ndege anaye spend miaka sita ya mwanzo bila kutua chini.

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Albatrosi ni ndege wakubwa wa bahari katika familia Diomedeidae. spishi hizi za ndege wana mabawa marefu kabisa kuliko ndege wote duniani. Albatrosi ana mabawa ambayo mawili pamoja yana urefu wa sm 310 kwa wastani na urefu mkubwa kabisa uliopimwa ulikuwa sm 370. Rangi zao zinatofautiana kutoka nyeupe na mabawa kijivu hafifu hadi mwili wote kijivucheusi. Wana domo mkubwa sana wenye ncha. Mirija miwili ya pua inapitia pande zote mbili za domo.

Ndege hawa huenda mbali sana wakiruka angani na wanaweza kuzunguka dunia. Hawapigi mabawa sana baada ya kuruka, lakini wananyiririka kwa mabawa yaliyonyooshwa. Huwakamata ngisi, samaki na hula mizoga pia. Kwa kawaida albatrosi huyatengeneza makazi yao kwenye visiwa vya mbali visipokaa watu wala mamalia wengine. Jike hulitaga yai moja tu.huyu ndege hutumia maisha yake ya mwanzo ya miaka Sita kuruka bila kutua chini
 
Attachments

  • 500px-070226_Shy_mollymawk_off_Kaikoura_2.jpg
    500px-070226_Shy_mollymawk_off_Kaikoura_2.jpg
    63 KB · Views: 8
  • Black_footed_albatross.jpg
    Black_footed_albatross.jpg
    1.3 MB · Views: 10
  • 1280px-Tristan_Albatross_(1).jpg
    1280px-Tristan_Albatross_(1).jpg
    348.4 KB · Views: 9
Albatrosi ni ndege wakubwa wa bahari katika familia Diomedeidae. spishi hizi za ndege wana mabawa marefu kabisa kuliko ndege wote duniani. Albatrosi ana mabawa ambayo mawili pamoja yana urefu wa sm 310 kwa wastani na urefu mkubwa kabisa uliopimwa ulikuwa sm 370. Rangi zao zinatofautiana kutoka nyeupe na mabawa kijivu hafifu hadi mwili wote kijivucheusi. Wana domo mkubwa sana wenye ncha. Mirija miwili ya pua inapitia pande zote mbili za domo.

Ndege hawa huenda mbali sana wakiruka angani na wanaweza kuzunguka dunia. Hawapigi mabawa sana baada ya kuruka, lakini wananyiririka kwa mabawa yaliyonyooshwa. Huwakamata ngisi, samaki na hula mizoga pia. Kwa kawaida albatrosi huyatengeneza makazi yao kwenye visiwa vya mbali visipokaa watu wala mamalia wengine. Jike hulitaga yai moja tu.huyu ndege hutumia maisha yake ya mwanzo ya miaka Sita kuruka bila kutua chini
Ndege john huyu ndege anakula je bila kutua?
 
Taarifa nzuri, ila imekaa kikificho mno , maswali ni Mengi juu ya ndege huyu!!

1 - anaishi miaka mingapi
2- akifikisha umri gani anajamiiana
3- muda wa miaka 5 anaishije?
4- anajisaidiaje ( choo)
 
Back
Top Bottom