Albatros ndege anaye spend miaka sita ya mwanzo bila kutua chini.

Anaruka miaka sita bila kutua chini.
Are you serious?
Analala wapi na anakula nini?
Usipokee kila unachofundishwa.
Tumia ubongo
Mie natumia akili ubongo ni kiungo Tu kama tako.
Sikusema nimepokea kila kitu Ila unapobisha leta hoja tuzisome hapa tujifunze wote sio kukataa kataa kama mdaiwa sugu.
 
Mie natumia akili ubongo ni kiungo Tu kama tako.
Sikusema nimepokea kila kitu Ila unapobisha leta hoja tuzisome hapa tujifunze wote sio kukataa kataa kama mdaiwa sugu.
Nimebisha mkuu.
Tusilazimishane.
Hoja nipe wewe, nimekuuliza hapo.
Ndani ya hiyo miaka sita halali? Hali?
Usiokote kila kitu na kukiamini eti sababu kimeandikwa na gugo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…