Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Bwana. Albert Chalamila amesema yeye hawezi kua mbunge kwa sababu hapendi kusema uongo, hawezi kusema 1+1 jibu ni 3 ama 4 huku akijua kabisa jibu ni 2.
Pia Chalamila amesema sababu nyingine kwa nini ubunge hauwezi ki kwanba wapigakura wana gubu sana, kitu kidogo tu lawama kwa mbunge huku wakijua kabisa mbunge hana hela zake mwenyewe kwani hata kama ni miradi ya maendeleo lazima mbunge aende kwa mkurugenzi ama spika ama mkuu wa mkoa kuomba apewe fedha za miradi.
Chalamila anasema gubu nyingine ya wapigakura kutotaka mbunge aishi vizuri, aendeshe gari nzuri vyote watasema ni hela zao.

Jamaa yupo sahihi kwa maana kuwa kuwa mbunge inabidi uwe muongo pia unakuwa huna nguvu ukitaka pesa za jimbo mpaka uende kwa mkurugenzi ko kibongo bongo yeye anauona ubunge ni miyeyusho si anawaona wanavopuyanga
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Bwana. Albert Chalamila amesema yeye hawezi kua mbunge kwa sababu hapendi kusema uongo, hawezi kusema 1+1 jibu ni 3 ama 4 huku akijua kabisa jibu ni 2.
Pia Chalamila amesema sababu nyingine kwa nini ubunge hauwezi ki kwanba wapigakura wana gubu sana, kitu kidogo tu lawama kwa mbunge huku wakijua kabisa mbunge hana hela zake mwenyewe kwani hata kama ni miradi ya maendeleo lazima mbunge aende kwa mkurugenzi ama spika ama mkuu wa mkoa kuomba apewe fedha za miradi.
Chalamila anasema gubu nyingine ya wapigakura kutotaka mbunge aishi vizuri, aendeshe gari nzuri vyote watasema ni hela zao.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Bwana. Albert Chalamila amesema yeye hawezi kua mbunge kwa sababu hapendi kusema uongo, hawezi kusema 1+1 jibu ni 3 ama 4 huku akijua kabisa jibu ni 2.
Pia Chalamila amesema sababu nyingine kwa nini ubunge hauwezi ki kwanba wapigakura wana gubu sana, kitu kidogo tu lawama kwa mbunge huku wakijua kabisa mbunge hana hela zake mwenyewe kwani hata kama ni miradi ya maendeleo lazima mbunge aende kwa mkurugenzi ama spika ama mkuu wa mkoa kuomba apewe fedha za miradi.
Chalamila anasema gubu nyingine ya wapigakura kutotaka mbunge aishi vizuri, aendeshe gari nzuri vyote watasema ni hela zao.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Bwana. Albert Chalamila amesema yeye hawezi kua mbunge kwa sababu hapendi kusema uongo, hawezi kusema 1+1 jibu ni 3 ama 4 huku akijua kabisa jibu ni 2.
Pia Chalamila amesema sababu nyingine kwa nini ubunge hauwezi ki kwanba wapigakura wana gubu sana, kitu kidogo tu lawama kwa mbunge huku wakijua kabisa mbunge hana hela zake mwenyewe kwani hata kama ni miradi ya maendeleo lazima mbunge aende kwa mkurugenzi ama spika ama mkuu wa mkoa kuomba apewe fedha za miradi.
Chalamila anasema gubu nyingine ya wapigakura kutotaka mbunge aishi vizuri, aendeshe gari nzuri vyote watasema ni hela zao.
Tatizo limeanza na hao hao wanasiasa. Wanapoomba ubunge huwadanganya wananchi kuwa wao wanao uwezo wa 'kuwaletea maendeleo'. Sijui wao wanayatoa wapi hayo maendeleo!? Elimu ya uraia kwa wananchi ni ziro kabisa, kwa kuamini kuwa mbunge au diwani anaweza kuleta maendeleo. Bw. Chalamila kasema ukweli....