GE2025 Albert Chalamila asisitiza uhuru na haki kwa wapiga kura kushiriki uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametoa wito kwa watendaji wa kata, wenyeviti wa mitaa na watendaji wengine kuhakiki
sha wanasimama katikati bila upendeleo au kuegemea upande wowote katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.

Ametoa wito huo Julai 4, 2025, wakati wa kikao kazi kilichofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam

Akizungumza na waandishi wa Habari Chalamila amesisitiza kuhusu uhuru na haki ya wapiga kura kipindi cha uchaguzi kama misingi ya sheria na katiba ya nchi kutekeleza demokrasia, akitaja viashiria vya uchaguzi huru na haki ikiwa ni idadi au muitikio wa wapiga kura itakayoidhirisha uhuru na haki

Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametoa wito kwa watendaji wa kata, wenyeviti wa mitaa na watendaji wengine kuhakiki
sha wanasimama katikati bila upendeleo au kuegemea upande wowote katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.

Ametoa wito huo Julai 4, 2025, wakati wa kikao kazi kilichofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam

Akizungumza na waandishi wa Habari Chalamila amesisitiza kuhusu uhuru na haki ya wapiga kura kipindi cha uchaguzi, akitaja viashiria vya uchaguzi huru na haki ikiwa ni idadi au muitikio wa wapiga kura itakayoidhirisha

View attachment 3394751
Tumekusikia mheshimiwa,tunaomba uwe mkali kidogo,,uchafu maeneo ya makazi ni kero,walipewa zabuni za kuzoa taka wamejisahau
 
Hovyo kabis
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametoa wito kwa watendaji wa kata, wenyeviti wa mitaa na watendaji wengine kuhakiki
sha wanasimama katikati bila upendeleo au kuegemea upande wowote katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.

Ametoa wito huo Julai 4, 2025, wakati wa kikao kazi kilichofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam

Akizungumza na waandishi wa Habari Chalamila amesisitiza kuhusu uhuru na haki ya wapiga kura kipindi cha uchaguzi kama misingi ya sheria na katiba ya nchi kutekeleza demokrasia, akitaja viashiria vya uchaguzi huru na haki ikiwa ni idadi au muitikio wa wapiga kura itakayoidhirisha uhuru na haki

View attachment 3394751

Hovyo kabisa hili jamaaa
 
Huyu ni mbwa mwitu anayewahutubia kondoo na kuwaahidi kuwa wakimchagua tu, ataacha kabisa kula nyama!
 
Hakuna atakayetishwa ila ni kwamba hawatakwenda.....nyie si mmeamua kubaka haki za raia.....endeleeni halafu mtaona mkono wa Mungu ukiwashughulikia...
Psalms 11:6
[6]Upon the wicked he shall rain snares, fire and brimstone, and an horrible tempest: this shall be the portion of their cup.
Awanyeshee wasio haki mitego, Moto na kiberiti na upepo wa hari, Na viwe fungu la kikombe chao.
 
Back
Top Bottom