Tumekusikia mheshimiwa,tunaomba uwe mkali kidogo,,uchafu maeneo ya makazi ni kero,walipewa zabuni za kuzoa taka wamejisahauMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametoa wito kwa watendaji wa kata, wenyeviti wa mitaa na watendaji wengine kuhakiki
sha wanasimama katikati bila upendeleo au kuegemea upande wowote katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Ametoa wito huo Julai 4, 2025, wakati wa kikao kazi kilichofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam
Akizungumza na waandishi wa Habari Chalamila amesisitiza kuhusu uhuru na haki ya wapiga kura kipindi cha uchaguzi, akitaja viashiria vya uchaguzi huru na haki ikiwa ni idadi au muitikio wa wapiga kura itakayoidhirisha
View attachment 3394751
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametoa wito kwa watendaji wa kata, wenyeviti wa mitaa na watendaji wengine kuhakiki
sha wanasimama katikati bila upendeleo au kuegemea upande wowote katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Ametoa wito huo Julai 4, 2025, wakati wa kikao kazi kilichofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam
Akizungumza na waandishi wa Habari Chalamila amesisitiza kuhusu uhuru na haki ya wapiga kura kipindi cha uchaguzi kama misingi ya sheria na katiba ya nchi kutekeleza demokrasia, akitaja viashiria vya uchaguzi huru na haki ikiwa ni idadi au muitikio wa wapiga kura itakayoidhirisha uhuru na haki
View attachment 3394751