Albert Chalamila: Kizazi ambacho kimepata divisheni 0 au 4 tunakiweka kwenye kundi lipi? Tunazalisha kizazi ambacho hakina tija kwa taifa

Wakuu,

Kama unajua una divisheni 0 au division four una ujumbe wako hapa kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila.

====================================

Mkuu wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila akizijengea uwezo hoja zilizotoka kutoka kwa walimu juu ya changamoto zinazoweza kusababisha kushuka kiwango cha ufaulu Sekondari, RC Chalamila amesema:

"Hiki kizazi ambacho kimepata divisheni zero au four ya mwisho mwisho je tunaki train kukiweka kundi lipi? Kinapaswa kuitwa Asset au Liability? Je tunategemea kuwa na human capital ya aina gani?

"Mwisho tunakuja kuzalisha kizazi ambacho hakina tija kwenye Taifa.

Kwenye philosophia Kila conclusion unayoifikia lazima itokane na premises ulizoziset? Lakini hizo premises ili zikidhi vigezo lazima zijitenge na Fallacy."

"Hoja zote hizo mlizongumza nazikubali lakini mnapaswa kwenda ndani zaidi lakini pia fanyeni majaribio katika hoja hizi. Kwa mfano hizi hoja tumeletewa watoto wenye daraja C, utoro, chakula mashuleni"

"Chukueni shule moja badilisheni kuwa Boarding, wekeni mazingira lazima mtoto ale, lazima mtoto asome, alafu tuone huyo aliyetoka na C shule ya Msingi Je ataendelea kuwa C?"

"Turudi upya kwenye majopo ya utafiti ili tuweze kukubaliana sababu ni zipi katika kuathiri kiwango cha ufaulu.Nini kifanyike ili kuwe na language fluency?

"Lazima tukubaliane tunawekezaje katika lugha ya kiingereza, kwa sasa imekuwa ni disaster. Tuone namna tunayoweza kusaidia watoto kuji unlock kwenye changamoto ya language."

Source: East Africa Radio
Kwenye chama chetu wapo wengi wa namna hiyo je anawazungumziaje hao? Tuanzie hapo kwanza
 
Kila binadamu ni asset, hizo 0 na 4 zimejaa huko huko kwenye chama chake, yeye mwenyewe aonyeshe cheti chake cha form 4 kama Hana 4 ya mwisho
 
Hawa ndo baadae utawakuta ni mafundi, wakulima, wamiliki wa malori, wenye ma guest house na bar, daladala za usafiri na wengine wanasiasa.
Huwa wanarudi kupata elimu ya mtaa kwa vitendo, wanaanzia chini kabisa.

Wa kuonewa huruma ni hawa wenye dv 1, 2 na 3 kisha baada ya kumaliza chuo wanakosa ajira. Hawa kuwaambia rudi anza moja kama yule aliyepata 4 na 0 ni kuwadhalilisha.
 
Sidhani wala siamini waliopata Div. 0 na 4 kua hawana akili. Wakurugenzi wengi wa sector binafsi Aidha hawajaenda shule kabisa au ni la saba au wameishia kupata sifuri form four.
Wakurugenzi (executives) wengi wamesoma labda kama unasema wakurugenzi wa saluni za kunyolea. Ambao wengine hawajasoma ni founders.
Nchi kama china wanaangalia pia na uwezo wa mtu umelalia kwenye fani gani na anapelekwa huko hata kama ana sifuri. Kila mtu ameletwa duniani kwa kusudi lake.
China utaratibu wao wa kuingia chuo ni kwa kufaulu high school tu, mwanafunzi afaulu mtihani wa Gaokao ndio aingie chuo kikuu hakuna namna nyingine. Hata uwe bondia au mwanariadha kiasi gani, hujafaulu mtihani huendi chuo. Na China ina wanariadha wengi wenye fani zao wametoka vyuoni, elimu haizuii mtu kuwa na kipaji.

Hata sisi ni hivyo, hakuna mtu anakatazwa kuwa bondia au mchezaji ila usitake kufanya kufeli sekondari liwe jambo la kujivunia.
Hatukuletwa duniani wote tuwe Maprofesa. Na wajinga wengui ndiyo wanao wachagua wao kubaki madarakani kwasababu watu wajinga ni waoga ukiwatisha tu kuwa msipochagua CCM hatuleti maendeleo kwenu basi wanafyata mkia mikoa kama Moshi Arusha, Mbeya maendeleo yameletwa na serikali au wananchi wenyewe kama maendeleo yanaletwa na CCM, Mtwara huko siwangekuwa wameendelea sana na tanga. Watu wote waheshimiwe kulingana na uwezo wao
Mkuu hajadharau waliopata sifuri. Kama kupata sifuri ni jambo jema tungekuwa tunahimizana kugonga miswaki na kuzungusha kwenye mitihani.

Sio jambo zuri wengine wanafaulu, wengine wanagonga sufuria kabisa lazima mikakati ifanywe angalau hii elimu ya sekondari mtoto apate marks kidogo za kumuendeleza fani au kipaji chake kwa elimu. Awe na options sio alazimike kuimba singeli.
Majeshini wengi ni Darasa la saba na Division 4 na ziro na vyeti vya kufoji lakini unakuta mtu anakusetia Mzinga kwa mahesabu ya hali ya juu sana hata msomi wa chuo kikuu hawezi.
Hao Div 4 na Zero wanaseti hiyo mizinga bila training? Na hao wasomi wa chuo kuna kozi ya mizinga walipelekwa wakafeli?

Au ndio unalinganisha mradi huyu ana Degree basi anatakiwa ajue kila kitu hata kama kinahitaji mafunzo na uzoefu wake. Ingekuwa hivyo basi kila graduate automatically angejua kuendesha bodaboda na malori.

Mkuh hata wewe wanao huwezi washawishi wafeli, tuwe wakweli hapa tusitiane moyo.
 
Wakuu,

Kama unajua una divisheni 0 au division four una ujumbe wako hapa kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila.

====================================

Mkuu wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila akizijengea uwezo hoja zilizotoka kutoka kwa walimu juu ya changamoto zinazoweza kusababisha kushuka kiwango cha ufaulu Sekondari, RC Chalamila amesema:

"Hiki kizazi ambacho kimepata divisheni zero au four ya mwisho mwisho je tunaki train kukiweka kundi lipi? Kinapaswa kuitwa Asset au Liability? Je tunategemea kuwa na human capital ya aina gani?

"Mwisho tunakuja kuzalisha kizazi ambacho hakina tija kwenye Taifa.

Kwenye philosophia Kila conclusion unayoifikia lazima itokane na premises ulizoziset? Lakini hizo premises ili zikidhi vigezo lazima zijitenge na Fallacy."

"Hoja zote hizo mlizongumza nazikubali lakini mnapaswa kwenda ndani zaidi lakini pia fanyeni majaribio katika hoja hizi. Kwa mfano hizi hoja tumeletewa watoto wenye daraja C, utoro, chakula mashuleni"

"Chukueni shule moja badilisheni kuwa Boarding, wekeni mazingira lazima mtoto ale, lazima mtoto asome, alafu tuone huyo aliyetoka na C shule ya Msingi Je ataendelea kuwa C?"

"Turudi upya kwenye majopo ya utafiti ili tuweze kukubaliana sababu ni zipi katika kuathiri kiwango cha ufaulu.Nini kifanyike ili kuwe na language fluency?

"Lazima tukubaliane tunawekezaje katika lugha ya kiingereza, kwa sasa imekuwa ni disaster. Tuone namna tunayoweza kusaidia watoto kuji unlock kwenye changamoto ya language."

Source: East Africa Radio
Nyie wenyewe mnazalisha wakata mauno...na ujing ujing uchawa
Upuz ndy mnaupa kipaumbele
Mpaka sasa mshazalisha takataka za kutosha
Na bado huko mbeleni mambo yatazidi kuwa mabaya

Ova
 
Kutoka chatGPT juu ya maoni yako:

The level of education of the person who wrote this passage is not explicitly clear, but based on the writing style and the depth of thought, it suggests at least a high school or college-level education. The writer demonstrates a good grasp of motivational and philosophical ideas, structured reasoning, and clear communication. However, since the message is based on life experience rather than technical knowledge, even someone without formal higher education could express these ideas if they are well-read and thoughtful.
Kwann mnapenda kuandikamo viingereza, muandike luga ya taifa?
 
Wakuu,

Kama unajua una divisheni 0 au division four una ujumbe wako hapa kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila.

====================================

Mkuu wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila akizijengea uwezo hoja zilizotoka kutoka kwa walimu juu ya changamoto zinazoweza kusababisha kushuka kiwango cha ufaulu Sekondari, RC Chalamila amesema:

"Hiki kizazi ambacho kimepata divisheni zero au four ya mwisho mwisho je tunaki train kukiweka kundi lipi? Kinapaswa kuitwa Asset au Liability? Je tunategemea kuwa na human capital ya aina gani?

"Mwisho tunakuja kuzalisha kizazi ambacho hakina tija kwenye Taifa.

Kwenye philosophia Kila conclusion unayoifikia lazima itokane na premises ulizoziset? Lakini hizo premises ili zikidhi vigezo lazima zijitenge na Fallacy."

"Hoja zote hizo mlizongumza nazikubali lakini mnapaswa kwenda ndani zaidi lakini pia fanyeni majaribio katika hoja hizi. Kwa mfano hizi hoja tumeletewa watoto wenye daraja C, utoro, chakula mashuleni"

"Chukueni shule moja badilisheni kuwa Boarding, wekeni mazingira lazima mtoto ale, lazima mtoto asome, alafu tuone huyo aliyetoka na C shule ya Msingi Je ataendelea kuwa C?"

"Turudi upya kwenye majopo ya utafiti ili tuweze kukubaliana sababu ni zipi katika kuathiri kiwango cha ufaulu.Nini kifanyike ili kuwe na language fluency?

"Lazima tukubaliane tunawekezaje katika lugha ya kiingereza, kwa sasa imekuwa ni disaster. Tuone namna tunayoweza kusaidia watoto kuji unlock kwenye changamoto ya language."

Source: East Africa Radio
Mbona bungeni kuna ambao hata hawajapata hizo zero na four?
 
If you have failed in attaining the basic skills reading/ communications and mathematics, then succeeding in life becomes an arduous task!!
Hata mnapojiwaza kuwa kushindwa kufaulu shuleni sio mwisho wa mafanikio maishani lakini ni ukweli kwamba ukiwa na elimu/ kufaulu kufanikiwa kimaisha kunaweza kuwa rahisi zaidi!
Hakuna mtu anayebeza elimu, lakini si haki wanaojifanya wana elimu kuwabeza wasiyobahatika kuhesabiwa ni wenye elimu kisa tu kuwatahini wanafunzi kwa yale ambayo wenye elimu wanadhani kuwa nayo ndiyo kuwa una elimu. Watanzania tunajijua wenyewe kutokana na roho zetu mbovu tunatumia juhudi kubwa katika kukwamishana kimaisha kuliko kusaidiana kufanikiwa. Na wanasiasa kila jambo wanalichukulia kisiasa.
 
Wakurugenzi (executives) wengi wamesoma labda kama unasema wakurugenzi wa saluni za kunyolea. Ambao wengine hawajasoma ni founders.

China utaratibu wao wa kuingia chuo ni kwa kufaulu high school tu, mwanafunzi afaulu mtihani wa Gaokao ndio aingie chuo kikuu hakuna namna nyingine. Hata uwe bondia au mwanariadha kiasi gani, hujafaulu mtihani huendi chuo. Na China ina wanariadha wengi wenye fani zao wametoka vyuoni, elimu haizuii mtu kuwa na kipaji.

Hata sisi ni hivyo, hakuna mtu anakatazwa kuwa bondia au mchezaji ila usitake kufanya kufeli sekondari liwe jambo la kujivunia.

Mkuu hajadharau waliopata sifuri. Kama kupata sifuri ni jambo jema tungekuwa tunahimizana kugonga miswaki na kuzungusha kwenye mitihani.

Sio jambo zuri wengine wanafaulu, wengine wanagonga sufuria kabisa lazima mikakati ifanywe angalau hii elimu ya sekondari mtoto apate marks kidogo za kumuendeleza fani au kipaji chake kwa elimu. Awe na options sio alazimike kuimba singeli.

Hao Div 4 na Zero wanaseti hiyo mizinga bila training? Na hao wasomi wa chuo kuna kozi ya mizinga walipelekwa wakafeli?

Au ndio unalinganisha mradi huyu ana Degree basi anatakiwa ajue kila kitu hata kama kinahitaji mafunzo na uzoefu wake. Ingekuwa hivyo basi kila graduate automatically angejua kuendesha bodaboda na malori.

Mkuh hata wewe wanao huwezi washawishi wafeli, tuwe wakweli hapa tusitiane moyo.
Kwanza nikupongeze nakukusifu kwakutumia mda wako mwingi kudadavua hii message yangu mimi sikushabikia ziro. Ila nimezungumzia ni kwanini Ziro zinakuwa nyingi kwenye shule za kata.
 
Kuna watu wengine ni kama vile akili hawanaga! Au ni akili fupi kama mkia wa mbuzi,
mtu anaepata zero au four kidato cha nne sindio hawahawa wako kwenye majeshi yetu? Sindio hawahawa ni wajasiriamali mnawakata kodi kila mwaka?
Umewai kumkuta mtu aliepata four amekaa tu analishwa na kutunzwa?

Kizazi hakina tija kwa taifa na mbona mnawakata kodi kwenye biashara zao?
Wewe Chalamila unaichangia hii nchi kodi kiasi gani?

Upumbavu na elini za kikoloni bado zimejaa vichwani mwa watu
 
Sidhani wala siamini waliopata Div. 0 na 4 kua hawana akili. Wakurugenzi wengi wa sector binafsi Aidha hawajaenda shule kabisa au ni la saba au wameishia kupata sifuri form four. Nchi kama china wanaangalia pia na uwezo wa mtu umelalia kwenye fani gani na anapelekwa huko hata kama ana sifuri. Kila mtu ameletwa duniani kwa kusudi lake. Hatukuletwa duniani wote tuwe Maprofesa. Na wajinga wengui ndiyo wanao wachagua wao kubaki madarakani kwasababu watu wajinga ni waoga ukiwatisha tu kuwa msipochagua CCM hatuleti maendeleo kwenu basi wanafyata mkia mikoa kama Moshi Arusha, Mbeya maendeleo yameletwa na serikali au wananchi wenyewe kama maendeleo yanaletwa na CCM, Mtwara huko siwangekuwa wameendelea sana na tanga. Watu wote waheshimiwe kulingana na uwezo wao Majeshini wengi ni Darasa la saba na Division 4 na ziro na vyeti vya kufoji lakini unakuta mtu anakusetia Mzinga kwa mahesabu ya hali ya juu sana hata msomi wa chuo kikuu hawezi. Mimi bado nasema ni mazingira tu siyo mazuri ndiyo maana kuna Div0 nyingi na four za mwisho mwisho hasa shule za kata wanafunzi ni wengi na mioundo mbinu kama waalimu, vitabu maabara hawana.
Naomba niulize Wafanya biashara wote pale Kariakoo wote wana Div One na Two?
 
Kwanza nikupongeze nakukusifu kwakutumia mda wako mwingi kudadavua hii message yangu mimi sikushabikia ziro. Ila nimezungumzia ni kwanini Ziro zinakuwa nyingi kwenye shule za kata.
Kuna mkono wa serikali hapo kwa shule hizo kupata ufauru mbaya. Mfano haiingii akilini ni vipi watoto wote 45 waliomaliza darasa la saba shule X ya Private na kupata alama A masomo yote wakapelekwa wote kama walivyo 45 shule Y ya sekondari ya kata iliyo jirani na walipomalizia la saba. Then utegemee ushindani wa kimasomo hapo 😎
 
Sasa kodi zetu zinatumika kwenye mambo ya anasa za kipuuzi kama kuwalea wateule na kusahau kabisa kuwekeza kwenye huduma za elimu na afya lazima shule na vyuo viendelee kuzalisha matutusa na mwishowe wanaishia kuwa chawa na mashoga tu
Kwa nini uzae wakati hali yako mbaya ? Inabidi tuishi kadri ya uwezo wetu. Unambato bila kondomu wakati uhakika wa kula milo mitatu kila siku hauna. Je mtoto na mama yake utaweza kuhudumia. Inabidi tuamke aisee.
 
Mimi ni miongoni mwa zero ila nmewazidi maarifa watu wengi sana wenye degree.. ajifunze kuchanganua
Elimu iliyopo ni ya hovyo kupata kutokea
 
Binaadamu yoyote ktk dunia anatija.
Kupata div 1 au 2 sio kwamba umeibuka kimaisha.
Kwaio mkuu una bishana na mteule wa mama Samia mwenyekiti CCM taifa..

Division 0 na four hazina tija kwa dunia ya Sasa ni Bora mtu aende veta miaka minne kuliko secondary school Tena apate division zero au four ya mwisho mwisho.
 
Back
Top Bottom