Albert Chalamila, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliyelishika jiji kwa uharaka

Jiji la makonda lilikua limechangamka sana kila siku kuna kitu kipya....jiji halipoi ukijumlisha na gwajima na da mange aiiiiii hadi joto linapungua.
Makonda alikuwa anasaka umaarufu tu,

Leo hii hakuna maandamano, hakuna panya road , hakuna kelele

Chalamila anachapa kazi kimya kimya
 
Makonda alikua na kashi kashi mara atake kutupima tezi dume Kwa lazima mara aite wamama waliotelekezewa watoto mara aseme kuoga lazima ili mradi akiongea lazima atoe Boko!
Unaogopa kupimwa tezi dume au unaogopa kile kidole
 
Wale wamama akawakusanya wakapigwa jua na vitoto vyao bila ishu....mara huku biti ole wake anaetaka nyongeza ya mshahara atawapiga viboko[emoji1787]
Kwenye ile inshu ya wamama nakumbuka kuna dada mmoja alitelekezewa kitoto cha kichina [emoji2],nadhan yule ndio alisaidika japo sina hakika sababu taarifa zake zilitrend sana[emoji1787][emoji2]
 
Sema ile ishue ilionesha udhaifu wa wanaume . Aise hata ukisingiziwa usitelekeze mtoto. Ni big noo
 
Makonda alikua na kashi kashi mara atake kutupima tezi dume Kwa lazima mara aite wamama waliotelekezewa watoto mara aseme kuoga lazima ili mradi akiongea lazima atoe Boko!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jiji la makonda lilikua limechangamka sana kila siku kuna kitu kipya....jiji halipoi ukijumlisha na gwajima na da mange aiiiiii hadi joto linapungua.
Kweli ulitokea Kwako hujaoga bashite anakupa sabuni na anakuogesha
 
Back
Top Bottom