Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Haya ni Maneno ya Hekima ya Mheshimiwa Albert Chalamila,Mkuu wa Mkoa wa Dar Salaam.ambaye amepata bahati kubwa sana ya kuongoza takribani majiji matatu Makubwa hapa nchini, yaani Jiji la Mbeya,Mwanza na Sasa Jiji la Dar es salaam.
Kumbuka pia ameongoza hata mkoa wa Kagera.kwa hiyo ni Mkuu wa Mkoa mwenye uzoefu mkubwa na wa kutosha katika uongozi.
Ambapo yeye anasema ya kuwa ukipata mtoto haina sababu wala haja ya kuanza kuhangaika kuanza habari za kupima DNA.kikubwa ni kushukuru kuwa Mkeo Kazaa Binadamu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.