Albert Chalamila: Mwanaume Achana na Mambo ya Kupima DNA, kikubwa Shukuru Mkeo Kazaa Binadamu

Albert Chalamila: Mwanaume Achana na Mambo ya Kupima DNA, kikubwa Shukuru Mkeo Kazaa Binadamu

Sasa uchawa upo wapi hapo wakati nimewaleteeni habari ya maneno ya hekima kutoka kwa Mheshimiwa
We hayo ukiyaona ni maneno ya hekima na wewe Luca unazingua we jamaa wewe kuna muda uwe unakosoa we muda wote unabubujikwa machozi tuuu ,sasa mkeo azae mchina na wewe si mlugulu wewe alafu ufatilize maneno ya huyo jamaa yako
 
Akileta mchina nitamwambia ampeleke China kwao.
 
aache mawazo ya kizamani, walioleta vipimo vya DNA wanazo sababu, Kila mtu alee watoto wake.
 
Ukiwa na uhaba wa nguvu za kiume lazima uone alichokisema ni sawa.
 
Mheshimiwa Chalamila anahusika na kugusa Maisha ya wana Dar tu.lakini Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anagusa maisha ya mamilioni ya watanzania ndani ya nchi na nje ya nchi.wote wanafikiwa na Mama na kupata matumaini makubwa kila uchao.
kumbe!!
 
Back
Top Bottom