Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #21
Mheshimiwa Chalamila anahusika na kugusa Maisha ya wana Dar tu.lakini Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anagusa maisha ya mamilioni ya watanzania ndani ya nchi na nje ya nchi.wote wanafikiwa na Mama na kupata matumaini makubwa kila uchao.kwa nn husingesema chalamila ametufikia wakazi wa dar.....,..badala yake ukasema mama..... huoni kuwa haujamtendea haki mr chala?
Kwa sbb yeye ni bibgwa wakutembea na wake za watu na kuwapa mimba ndo anaogopa asijekugundulikaNdugu zangu Watanzania,
Haya ni Maneno ya Hekima ya Mheshimiwa Albert Chalamila,Mkuu wa Mkoa wa Dar Salaam.ambaye amepata bahati kubwa sana ya kuongoza takribani majiji matatu Makubwa hapa nchini, yaani Jiji la Mbeya,Mwanza na Sasa Jiji la Dar es salaam.
Kumbuka pia ameongoza hata mkoa wa Kagera.kwa hiyo ni Mkuu wa Mkoa mwenye uzoefu mkubwa na wa kutosha katika uongozi.
Ambapo yeye anasema ya kuwa ukipata mtoto haina sababu wala haja ya kuanza kuhangaika kuanza habari za kupima DNA.kikubwa ni kushukuru kuwa Mkeo Kazaa Binadamu.View attachment 3066635
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa hiyo unaona umuhimu wa kupima DNA pale unapoona kuna hali kutilia shaka. Watu hawapimi tu hadi inapoonekana viashiria kama mke kuwa mwingi au muonekano wa mtoto kufanana na mtu unayemtilΓ¬a shaka kuwa anakumegea mkeo. Chalamila hapo ametoa book. Ila ephen_ namjua siyo mtundu ametulia labda umzingue mwenyewe.Sitakubaliπππ na ni lazima nitamuuliza ephen kama kwenye ukoo wao kuna machotara.
Ajiandae kupakwa kilainishiKwa sbb yeye ni bibgwa wakutembea na wake za watu na kuwapa mimba ndo anaogopa asijekugundulika
Sitakubaliπππ na ni lazima nitamuuliza ephen kama kwenye ukoo wao kuna machotara.
Ndio hapo ephen.ndio maana nikasema Kuwa ikitokea umejifungua mtoto Chotara itabidi nianze kuuliza kulikoni lazizi wangu.huyu chotara katoka wapi ephen wanguu.Kwanini tuzae chotara wakati sisi ni wasukuma?π
Ila mimi babu yangu ni mwarabu japo mimi mweusi, mtoto anaweza kumrithiNdio hapo ephen.ndio maana nikasema Kuwa ikitokea umejifungua mtoto Chotara itabidi nianze kuuliza kulikoni lazizi wangu.huyu chotara katoka wapi ephen wanguu.
Hata mimi namuamini sana ephen wanguu na ndio maana nampenda sana..ila wewe najuwa unamtamani sana lazizi wangu ephen.mate yanakutoka kama fisi. Sasa ole wako nije kusikia unajaribu kummendea utaona kitakachokukuta.Kwa hiyo unaona umuhimu wa kupima DNA pale unapoona kuna hali kutilia shaka. Watu hawapimi tu hadi inapoonekana viashiria kama mke kuwa mwingi au muonekano wa mtoto kufanana na mtu unayemtilìa shaka kuwa anakumegea mkeo. Chalamila hapo ametoa book. Ila ephen_ namjua siyo mtundu ametulia labda umzingue mwenyewe.
Sasa mtoto si atakuwa ni mtanzaniaMbona uraia tunaulizana na kufuatiliana sana??
Itabidi nikaendage kumuona kabisa huyo Babu na nijuwe anaonekanajeIla mimi babu yangu ni mwarabu japo mimi mweusi, mtoto anaweza kumrithi
Mnaweza kumruhusu Mtoto wa baba Mnyaruwanda na mama Mtanzania awe Rais??Sasa mtoto si atakuwa ni mtanzania
Kaajiriwa pale Lumumba kwa kazi ya kumsifia bibi pamoja na kuanzsisha threads za hovyo kama hizi zinazosifia watu wajinga kama akina Chalamila. Malipo yake buku 7 tu kwa siku (sawa na 210,000 kwa mwezi).Wewe bwana unaishi kwa kufanya kazi gani ?
Mwaka huu utakufa tu kwa presha na roho mbaya yako.Kaajiriwa pale Lumumba kwa kazi ya kumsifia bibi pamoja na kuanzsisha threads za hovyo kama hizi zinazosifia watu wajinga kama akina Chalamila.
Ninavyomsoma huyu jamaa anaweza kusema bibi ya mtoto alikuwa chama tawala πLucas kama mkeo akijifungua mtoto chotara wa kiarabu wakati wewe na yeye ni wabantu utakubali?
Kwani lazima ajue unampima mtoto?Kwa hiyo utakuwa unapima kila mtoto anayezaliwa?πππ Ukikuta ni wa kwako utasemaje? Huoni utakuwa umemuathiri kisaikolojia mkeo? Huoni kuaminiana kutakuwa kumekwisha? Huoni hata upendo kutoka kwa mkeo utakwisha kwa kujuwa kuwa anaishi na mtu ambaye hana imani naye?
Unapima tu kama kuna mazingira ya kutia shaka. Na unapima kiintelijensia kama ukikuta ni wako unapiga kimya .Kwa hiyo utakuwa unapima kila mtoto anayezaliwa?πππ Ukikuta ni wa kwako utasemaje? Huoni utakuwa umemuathiri kisaikolojia mkeo? Huoni kuaminiana kutakuwa kumekwisha? Huoni hata upendo kutoka kwa mkeo utakwisha kwa kujuwa kuwa anaishi na mtu ambaye hana imani naye?
Lucas ni mjinga mmoja ambaye anaamini kwamba kila mwanasiasa wa upande wake anapozungumza jambo kwake ni sahihi na halina haja ya kutafakari na kuona makosa katika utamkaji wake kwa jamii na hata katika ulimwengu wa kiroho. Ilimradi tu tamko lake limetolewa na mwanasiasa huyo.Lucas kama mkeo akijifungua mtoto chotara wa kiarabu wakati wewe na yeye ni wabantu utakubali?