Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Bibi yupi huyoItabidi akaongee na yule Bibi aliesema walimuondoa muingereza ambae alikua na mitutu, aongee nae vizuri ataelewa jambo
Pitiapitia hukoBibi yupi huyo
Hilo limenipita....nipe link kama unaikumbukaPitiapitia huko
Ipo humu humu jfHilo limenipita....nipe link kama unaikumbuka
Mkuu aliposema kunawatu wanataka kuchoma vituo vya mafuta huko Ubungo hata mimi nimesikia na nimeziongelea humu lakini sidhani kama mwana CHADEMA ndiye aliyesena huenda ni wale wanaharakati wa Mange Kimambi.hizo fujo kazisoma mtandao gani?
Mkuu aliposema kunawatu wanataka kuchoma vituo vya mafuta huko Ubungo hata mimi nimesikia na nimeziongelea humu lakini sidhani kama mwana CHADEMA ndiye aliyesena huenda ni wale wanaharakati wa Mange Kimambi.
Nimesikia kwa masikio yangu halafu nikakimbilia humu kuwakana hao wanaotaka kuchoma vituo vya mafuta vilivyopo Ubungo.
Nimesikia kwa masikio yangu halafu nikakimbilia humu kuwakana hao wanaotaka kuchoma vituo vya mafuta vilivyopo Ubungo.
Doria mtandaoni?Nikadhani labda ulikuwa kwenye doria?
Hapana mkuu tujichunge na Agent Provocateur wanataka kutuharibia.Nikadhani labda ulikuwa kwenye doria?