Albert Chalamila: NMB wameniambia nikifanya vizuri watanilipia mkopo

Albert Chalamila: NMB wameniambia nikifanya vizuri watanilipia mkopo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amesema NMB wamemuahidi akifanya vizuri watafuta mkopo(Possibly ni mkopo wa Mkoa). Amesema hayo katika kilele cha mbio za mwenge na kumbukizi ya kifo cha Mwl Julias Nyerere.

Hata hivyo, hajasema kufanya vizuri kwa namna gani, kama ni kiutendaji au kinamna gani. Lakini naona ni jambo kubwa.

Chalamila hoyee
 
Wanampa Mkopo kivipi?

Wanampa yeye, mkoa wake au wanakopesha utumishi wake?

Haieleweki
 
mkoa wamekopa kwa ajili ya nini???
 
WATUFUTIE NA SISI RAIA. MBONA TUNA FANYA VIZURI KILA SIKU
 
Back
Top Bottom