Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amesema NMB wamemuahidi akifanya vizuri watafuta mkopo(Possibly ni mkopo wa Mkoa). Amesema hayo katika kilele cha mbio za mwenge na kumbukizi ya kifo cha Mwl Julias Nyerere.
Hata hivyo, hajasema kufanya vizuri kwa namna gani, kama ni kiutendaji au kinamna gani. Lakini naona ni jambo kubwa.
Chalamila hoyee