Albert Einstein: Kutoka kuwa kilaza darasani hadi kuwa nguli wa fizikia

Albert Einstein: Kutoka kuwa kilaza darasani hadi kuwa nguli wa fizikia

Formal education imepoteza sana vipaji vya wasomi wetu, nafasi ya kuwaza na kubuni hamna kabisa.
 
Huyu jamaa kadri siku zinavyoenda nagundua alikuwa sio wa kawaida.
 
PITIENI NA HUU UZI KUJUA KWA BILA WANASAYANSI WA AFRICA PIA AMERCA NA ULAYA WASINGEFANIKIWA KWA LOLOTE TATIZO NI TAMAA ZA WANASAYANSI WA AFRICA UZI HUU UNAFACT TUPU
Wanasayansi wa kiafrika ndio wanaoikuza Amerika na ulaya, kwanini wasiikuze Afrika yao
Siyo kweli kwamba wasingefanikiwa kwa lolote.Jiulize hao wanasayansi wa kiafrica elimu zao walisomea wapi?,Je ni Aftica?,Ukichunguza utakuta karibia wote wamesomea masomo yao huko huko na research wamefanyia huko huko kwa wazungu.Wana mchango wao kama wanasayansi katika sehemu wanapofanyia kazi.Ila ukisema Wasingefanikiwa kwa lolote utakuwa unadanganya.Lets be realistic.
 
Back
Top Bottom