Siyo kweli kwamba wasingefanikiwa kwa lolote.Jiulize hao wanasayansi wa kiafrica elimu zao walisomea wapi?,Je ni Aftica?,Ukichunguza utakuta karibia wote wamesomea masomo yao huko huko na research wamefanyia huko huko kwa wazungu.Wana mchango wao kama wanasayansi katika sehemu wanapofanyia kazi.Ila ukisema Wasingefanikiwa kwa lolote utakuwa unadanganya.Lets be realistic.