Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Umewaza Kama MimiHuyo makaveli ni nani?
Hizi tabia za kujifanya mnajua watu ni za ajabu sana. Ngwea alikuwa na maisha yake tena alishafikia stage nzuri ya kuwa na project zake nje ya muziki. Ni vile tu mwishoni alipozama kwenye janga la uraibu ndio mambo yakaenda kombo which is normal kwa kijana kuna wakati unaweza poteza kabisa then baadae unarudi kwenye reli.
Sipendi wanaume wenye tabia za kuwazungumza wanaume wenzao vibaya behind their back..
Siku zoteee kwenye jamii zilivo Endelea (civilized society) ukitaka kumzungumza MTU inabidi umwombe ruhusa kwakua mangwea is dead na haiwezikani Tena kuja kujibu hoja za makaveli it's better makaveli akaacha kumuongelea marehemu mangwea in his perception