Albert Mangwair, Rapper aliyekuwa mbele ya muda

Kuna ila ngwea,mr blue na mond ......dah mle ndani kila mtu alitimiza alichotakiwa kufanya


Halaf kuna nyingine siikumbuki jina ila kuna msitari anasema "wazanzibar wamechoka kutanga na nyika" katajwa dr ulimboka mle ndani


Halaf kuna ule mpini kaimba na jide.....ile ngoma inatembea nyakati zote haiwezi chuja
 
Hiyo ya Ngwe,Mond na Blue inaitwa BBM kwanza hiyo beat sijawaji kuona...mikono ya P.Funk.

Kuhusu wa zanzibar kutanga na nyika....Hiyo ndio track yangu bora kutoka kwa ngwea....Inaitwa MASIKINI WENZANGU FT MIRROR. inamadini vesi 3 zote ni[emoji91][emoji91][emoji91]

Na Jay Dee kuna sikiliza Mwana FA pia yumo....

Pia na Lady jay dee kuna pini linaitwa MAPENZI GANI[emoji119] Kama kuna mtu hajawahi lijua au liskliza tafadhali aisikilize aiseee...ile flow[emoji119][emoji91]
 
Pia huyu jamaa alimfutisha fid q verse
Fid q aliandikia gheto wiki na zaidi

Ngwear aliandikia studio ...😂😂😂


Hii ni kwa mujibu wa fid q mwenyewe
 
Pia huyu jamaa alimfutisha fid q verse
Fid q aliandikia gheto wiki na zaidi

Ngwear aliandikia studio ...[emoji23][emoji23][emoji23]


Hii ni kwa mujibu wa fid q mwenyewe
Yes ni ngoma ya CNN.....Fid alithibitisha mwenyewe....na juzi Producer Q the Don alisema pia..

SIKIA SASA.

FID Q Alifuta vesi akaandika nyingine sawa, na akatoka nje ya mada anaanza kwa kusema usiniite half ma niite man and a half. hapa kapaniki tayari...

Ngwea bado hakujali akamwambia fid afungue nyimbo kwa vesi yake.

Lkn fid alikula comeback moja ya nguvu tena kwa flow ya kinyama sana, the rest is history.

Cowbama[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hii umetupeleka mchomo mkuu

Sent from my V2204 using JamiiForums mobile app
 
Msanii wa Hip hop aitwaye FARID QUBANDA hakuwahi kufuts verse kwenye ngoma yoyote ile ambayo imesha rekodiwa,ila baada ya ya kutia Verse kwenye ngoma ya CNN na baadae kumsikiliza CowBoy UNYAMA alio ufanya ilibidi a change verse na kuandika nyengine ndo Ngoma hii tuna iskia sasa.

Sent from my V2204 using JamiiForums mobile app
 
Ngwear ni wasanii wanaotokea mara moja kwa karne
 
Ww na fid tumuelewe nani ndugu? Ok Fid kabadili vesi? Sasa tofauti iko wapi hapo? Kwann asipige ile ile kaweka nyingine? [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…