central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 146
- 215
- Thread starter
-
- #41
Walimtumiaje mkuu nipatie faida...Baada ya clouds kumtumia na kumtema akawachana kwenye no beef
Nimeamua kuwa peke yangu kuchapa kazi,
Saivi ndugu mwanangu na mama mzazi,
Machizi yani siku hizi wanasnitch tu....
Ft TID[emoji91]Kiuhalisia ngwear alikuwa ni mtu mwenye I.Q kubwa km kuna mpini mmoja anauimbia ukimwi.......km sikosei "A.K.A Mimi"
Mle ndani kuna ujumbe kichizi
No sikubaliani na unachosema sababu mwishoni hapo anamalizia kusema machizi sikuizi wanazingua zaidi ya vichecheBaada ya clouds kumtumia na kumtema akawachana kwenye no beef
Nimeamua kuwa peke yangu kuchapa kazi,
Saivi ndugu mwanangu na mama mzazi,
Machizi yani siku hizi wanasnitch tu....
Muamini YEYE ndugu kwa kuwa hicho nilicho andika kina shabihiana na alicho kizungumzaga kwenye moja ya interview.Ww na fid tumuelewe nani ndugu? Ok Fid kabadili vesi? Sasa tofauti iko wapi hapo? Kwann asipige ile ile kaweka nyingine? [emoji3][emoji3]
P funk aliuelezea vizuri sana huu wimbo maisha ambayo Ngwair alikuwa anapitia kwa wakati huoNo sikubaliani na unachosema sababu mwishoni hapo anamalizia kusema machizi sikuizi wanazingua zaidi ya vicheche
Inaonekana aliwaimbia marafiki mizinguo sio clouds
Ok ila point rahisi tu. Kubanda ni mnyama lkn alikutana na mwanadamu wa tofauti ndo mana anasema may 28 mwezi wa 5 huwa anasima kwa adabu hadi leo hajawahi kufanyiwa huo ukatili studio,imagine kafanya kazi na kina Jay mo,langa,profesa,chid. lkn kwa ngwea akakutana na hilo janga.Muamini YEYE ndugu kwa kuwa hicho nilicho andika kina shabihiana na alicho kizungumzaga kwenye moja ya interview.
Sent from my V2204 using JamiiForums mobile app
Kuna ila ngwea,mr blue na mond ......dah mle ndani kila mtu alitimiza alichotakiwa kufanya
Halaf kuna nyingine siikumbuki jina ila kuna msitari anasema "wazanzibar wamechoka kutanga na nyika" katajwa dr ulimboka mle ndani
Halaf kuna ule mpini kaimba na jide.....ile ngoma inatembea nyakati zote haiwezi chuja
Mimi ukimweka Fid Q na Nikki Mbishi kura yangu inaenda kwa Nikki Mbishi.Ok ila point rahisi tu. Kubanda ni mnyama lkn alikutana na mwanadamu wa tofauti ndo mana anasema may 28 mwezi wa 5 huwa anasima kwa adabu hadi leo hajawahi kufanyiwa huo ukatili studio,imagine kafanya kazi na kina Jay mo,langa,profesa,chid. lkn kwa ngwea akakutana na hilo janga.
rest easy mwanachemba.
Mimi ukimweka Fid Q na Nikki Mbishi kura yangu inaenda kwa Nikki Mbishi.
Najua wengi watanipinga ila Nikki Mbishi yuko na Conscious hip hop/rap zaidi ya Fid Q
Ni kawaida kwa wasanii kukilubaliana ila mimi naongea kama shabiki msikilizaji wa kazi zaoYou're entitled to your opinion ila Mbishi mwenyewe anamuelewa Q.
Anzisha uzi tubishaneMimi ukimweka Fid Q na Nikki Mbishi kura yangu inaenda kwa Nikki Mbishi.
Najua wengi watanipinga ila Nikki Mbishi yuko na Conscious hip hop/rap zaidi ya Fid Q
Wazo zuriAnzisha uzi tubishane
Kama hataki hivi(flow)ALMA, Mangwea, Ngwair, Cowobama. The best to ever do it.
Hii ngoma ya Ngwair Majani aliiachia baada ya Ngwair kufariki. Unyama sana:
Uzi huu[emoji3]Mimi ukimweka Fid Q na Nikki Mbishi kura yangu inaenda kwa Nikki Mbishi.
Najua wengi watanipinga ila Nikki Mbishi yuko na Conscious hip hop/rap zaidi ya Fid Q
Kubanda anajua.....Mimi ukimweka Fid Q na Nikki Mbishi kura yangu inaenda kwa Nikki Mbishi.
Najua wengi watanipinga ila Nikki Mbishi yuko na Conscious hip hop/rap zaidi ya Fid Q
Ni kawaida kwa wasanii kukilubaliana ila mimi naongea kama shabiki msikilizaji wa kazi zao
Hata Fid ukifanya naye interviewe atakwambia anamkubali Nikki Mbishi
Fid q na young killer wote wamefuga rasta ili wapate madem wa kizunguSorry ni out of mada hivi roma aliwahi kuwa na beef na joh makini .....kuna kamstari kwenye mathematics ukisikiliza anasema
"we mchaga kauze mitumba mziki umekushinda mistari yako mieusi kaipake carolight akaendelea na kusema wanafuga rasta ili wapate mademu wa kizungu"
"pia kwenye kidole cha mwisho juu anasikika akisema hiphop ina wigo mpana usiseme tu R-chuga" ...
ukicheki john ndio hujiita mwamba wa kaskazin
ukichekecha akili unaona kabisa hii alilengwa joh