Albert Mangwair, Rapper aliyekuwa mbele ya muda

Baada ya clouds kumtumia na kumtema akawachana kwenye no beef

Nimeamua kuwa peke yangu kuchapa kazi,
Saivi ndugu mwanangu na mama mzazi,
Machizi yani siku hizi wanasnitch tu....
No sikubaliani na unachosema sababu mwishoni hapo anamalizia kusema machizi sikuizi wanazingua zaidi ya vicheche

Inaonekana aliwaimbia marafiki mizinguo sio clouds
 
P funk aliuelezea vizuri sana huu wimbo maisha ambayo Ngwair alikuwa anapitia kwa wakati huo

Na akataja kuhusu media fulani ambayo inawatumia wasanii kwa faida zao kisha wanawatema kama chewing gum
 
Muamini YEYE ndugu kwa kuwa hicho nilicho andika kina shabihiana na alicho kizungumzaga kwenye moja ya interview.

Sent from my V2204 using JamiiForums mobile app
Ok ila point rahisi tu. Kubanda ni mnyama lkn alikutana na mwanadamu wa tofauti ndo mana anasema may 28 mwezi wa 5 huwa anasima kwa adabu hadi leo hajawahi kufanyiwa huo ukatili studio,imagine kafanya kazi na kina Jay mo,langa,profesa,chid. lkn kwa ngwea akakutana na hilo janga.

rest easy mwanachemba.
 
Kuna ila ngwea,mr blue na mond ......dah mle ndani kila mtu alitimiza alichotakiwa kufanya

Halaf kuna nyingine siikumbuki jina ila kuna msitari anasema "wazanzibar wamechoka kutanga na nyika" katajwa dr ulimboka mle ndani

Halaf kuna ule mpini kaimba na jide.....ile ngoma inatembea nyakati zote haiwezi chuja

Inaitwa Maskini wenzangu
 
Ok ila point rahisi tu. Kubanda ni mnyama lkn alikutana na mwanadamu wa tofauti ndo mana anasema may 28 mwezi wa 5 huwa anasima kwa adabu hadi leo hajawahi kufanyiwa huo ukatili studio,imagine kafanya kazi na kina Jay mo,langa,profesa,chid. lkn kwa ngwea akakutana na hilo janga.

rest easy mwanachemba.
Mimi ukimweka Fid Q na Nikki Mbishi kura yangu inaenda kwa Nikki Mbishi.

Najua wengi watanipinga ila Nikki Mbishi yuko na Conscious hip hop/rap zaidi ya Fid Q
 
You're entitled to your opinion ila Mbishi mwenyewe anamuelewa Q.
 
Ni kawaida kwa wasanii kukilubaliana ila mimi naongea kama shabiki msikilizaji wa kazi zao

Hata Fid ukifanya naye interview atakwambia anamkubali Nikki Mbishi
 
Ni kawaida kwa wasanii kukilubaliana ila mimi naongea kama shabiki msikilizaji wa kazi zao

Hata Fid ukifanya naye interviewe atakwambia anamkubali Nikki Mbishi

Kumuelewa hapa imetumika kama Q "birthed" tamaduni wote from Nikki, stereo, one etc.
 
Sorry ni out of mada hivi roma aliwahi kuwa na beef na joh makini .....kuna kamstari kwenye mathematics ukisikiliza anasema

"we mchaga kauze mitumba mziki umekushinda mistari yako mieusi kaipake carolight akaendelea na kusema wanafuga rasta ili wapate mademu wa kizungu"

"pia kwenye kidole cha mwisho juu anasikika akisema hiphop ina wigo mpana usiseme tu R-chuga" ...

ukicheki john ndio hujiita mwamba wa kaskazin

ukichekecha akili unaona kabisa hii alilengwa joh
 
Fid q na young killer wote wamefuga rasta ili wapate madem wa kizungu
 
Back
Top Bottom