Albert Mangwair, Rapper aliyekuwa mbele ya muda

Ni kweli lakini fid na young killer sio wachaga pili john ndio hujiita weusi kundi lao
Na mathematics inatoka young killer bado hakuwa star kwenye gemu
 
Jamani ngwea ni mnyama sana ila yupo kiumbe anaitwa Langa kileo asee jamaa alikuwa smart,njooni tumjadili kidogo na huyu
 
Sikilizeni mizigo hiyo
Your browser is not able to play this audio.
 
Alimpoteza Stamina na Khaligraph kwenye ile ngoma ya NOW YOU KNOW
Huyu pia ni miongoni mwa watu wenye I.Q kubwa ila watu hawamuelewi anatembea mbele ya muda kaisikilize "mwanangu" vyote alivyoimba mle vilitokea
Mfano huu msitari πŸ‘‡ aliimba kabla chochote akijatokea

Kaka yetu aliye hai na yuko happy? Yule chenga
Polepole haya mambo sasa ni msiba
Njoo chemba


Msitari mwingine huu πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
.
Na ile biashara ya Bagamoyo baba alioisitisha?
Juzi mjomba alisema iendelee inasikitisha
Kwa hiyo kamsaliti baba eh? Ah ah sijamaanisha
Mama amuwangalie kaka yake kwa makini atamfelisha
 
Kitanda nane kwa kumi na deki ya DVD ,Zinga la mziki linatwanga tu CD ,Bafuni Sink hakuna bali JAKUZI SCREEN kila chumba tunacheck tu Movie.

=> Bado hatujafikia vitanda vya 8 kwa 10 , Screen kila chumba bado ,tunaweka sebuleni tu ikizidi sana kwa MSHUA.......Jakuzi bado hatujfikia.

Kwani WAKAZI anasemaje?
 

Duuuh aliimba kitambo ndiyo imekuja kutokea sasa.

WAKAZI anasemaje kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…