Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Ule wimbo ni mzuri sana aisee, kipande cha Albert unaweza kurudia zaidi ya mara 10Kama una akili nzuri huwezi kubisha ufalme wa Ngwea kwenye Hiphop.
Nikikumbuka alivyoichanachana biti ya majani akirap verse ya kwanza kwenye nyimbo MSELA aliyoshirikishwa na TMK Wanaume enzi hizo ni noumaaa!!!
Huwa narudiarudia verse ya Ngwea bila kuchoka.
Mawazo kama yako na mimi nilikuanayo aisee Mungu atusamehe kuingilia kazi yake japo kimawazoWana chamber mnaona muda shaa unayoyoma
Ngwair alikuwa talented levo nyingine kabisa
Katika siku nilizowah kuwaza ujinga ni siku aliyokufa
Niliwaza Kwa nini M2tha P ndo asingeenda ? (bro M2P utanisamehe kama utaona hii comment
Mwaka 2015 M2the P akatumia siku ya kumbukumbu ya Ngwair kuachia kibao chake, nilihairisha kila kitu ili nimsikie, nikaona anaimba umbufi tu nyimbo ya bata bata, Nikajisemea moyon lait kama Israel Mtoa roho angekosea hesabu siku ile then leo (hyo siku) Ngwair ndo awe anahojiwa kwa mara ya kwanza tangu ampoteze mchiz wake na tangu anusurike na mauti, Ukute Kuna Bonge la Ngoma lingetambulishwa leo,
Matokeo yake ni huu uchafu nao usikiliza
Ila kwenye Bwii M2the P ulijitahid kias
Hivi yuko wapi sele, nilikrem nyimbo zake zote zile...opiipii nk hahaha long timeVizuri. Ila usituaminishe kwamba Ngwair ndiye mwanamuziki wa kwanza kuimba au kurap kwa kubadilisha nyimbo za kingereza. Wakati tunawajua watu kama Swalehe/Sele Jabiri pamoja na makundi mengine ya wakati huo.
Nahisi muitikio wa wachangiaji ulikua hafifu ikamkatisha tamaa....mkuu kuna vitu uliahidi kuleta kwenye uzi huu mpaka leo hujaleta
MKALI WA FREESTYLE....
Atakapotokea mwingine(au kama yupo) mwenye uwezo kama aliokuanao NGWAIR naomba mnijulishe
unaitwaje huu?"wengine mnapenda sana vya kupewa ndo maana wengi wenu mnaishia kuchezewa mnamegwa mnaachwa na hata mkiolewa, ndoa inajaa visa na kuonewa na ukinletea kibesi tu asubuhi talaka kwenu, najua huna kitu zaidi ya begi lako (mfuko wa rambo)...."
Albert alikuaga mnoma jo!