Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,667
- 2,595
UsiwazeAsante Kwa picha sijui umeitoa wap...
Albalto alikua mtu wa watu.... RIP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UsiwazeAsante Kwa picha sijui umeitoa wap...
Albalto alikua mtu wa watu.... RIP
Usimhukumu mtu mkuu,kila mtu ni mdhambi wewe mwenyewe hapo ulipo una dhambi yako kuu ukute ni mwizi,malaya,mfiraji,msengenyi,mzinzi,mlevi,punyetonist,muuaji,nk...yeye hiyo ilikuuwa ya kwakwe hujui aliingia for what sasa unamuhukumu kama nani....kuwa mdhambi haimaanishi huna mazuri Ngwear alikuwa na kitu kwa walioishi nao karibu ndio maana huwezi kukuta. Wanamdiss...masela zakekwa maoni yangu mi nilitaka maiti yake ichapwe viboko ili liwefundisho kwa mateja ote na wanao taka kuingia ktk mkumbo huo, binafsi hakuna jema nililo jifunza kwake kamakweli alikufa kwa madawa.
Maskini wenzangu hii noma sana mkuu ,genius kbsa yule mjamaaWimbo wangu Bora wa nyakati zote...wa Albert
Verse 1:
wachache ndo wanaishi wengi wetu ma escorts,
twiga wanapanda pipa hata bila ya passports,
mikoa mingi bado haina hata airports,
zaidi ya migodini madini kuya export,
bila ya wazawa kufaidika,
ndo mana wazanzibara wamechoka kutanga na nyika,
big up Mandela leo South sio Africa,
waliotangulia kupata uhuru bado wanapigika,
bidhaa zilizo expire kutubambika,
meli zinazidi zama wengi daily tunawazika,
wenye hali duni ndo tunao athirika,
wao ma vx yao ni special order uhakika,
tutalia machozi ya damu mpaka yata form bahari,
na tutaogelea wenyewe na watu hawajali,
leta mgomo baridi uijue serikali then muulize Ulimboka umuhimu wa Madaktari let's go
Chorus
(bado nalia tu na Tanzania yangu/kweli mali ni nyingi wale wachache wenzangu/me nalia na masikini wenzangu/eeh baba Mungu sikia kilo changu/issue is harder tuna suffer/sikia kilio changu/issue is harder tuna suffer/me nalia like..........)
Verse 2:
viongozi wa siasa kama viongozi wa dini,
mengi wanaongea coz silaha yao ni ulimi,
mh.spika Tanzania huru inazidi zeeka tayari ni miaka 50,
mengi mmetuahidi pia ahadi ni deni,
pia tunatambua umuhimu wa UN,
kupinga h.I.v,umaskini na rushwa and,
mabilioni yanayotumika kwa campgain,
kama za kupinga unyanyasaji wa watoto,
zisiishie kwenye promo na kuwalisha bado ndoto,
ishu sio kutupiana maneno bungeni,
bali watoto watoke mtaani warudi shuleni
,mkulima shambani anahitaji usafiri wa treni,
nyie piteni angani mazao yake muuzieni,
mpeni bei nzuri aweze mudu zaidi ya trector,
ni mawazo tu DIC usione nakuTATOR
(chorous)
Verse 3.
Tanu ilifanya kazi kubwa 61,
solution sio labda nchi wachukue upinzani,
bali mtanzania wa chini anaishi maisha gani,
watu wanakufa kwa njaa iweje tujivunie amani,
ni mengi tu mazuri yamefanyika mpaka sasa,
ila naamini bado tungekuwa mbali(hivi babu wa Loliondo nae inawezekana tu ilikuwa ni siasa)NO !(Lakini iko wapi hii kaburi ya Balali !?) Men ! Jibu unalo so usiulize swali,una dini ?
Mkristu sali na Muislam swali coz,
bado tunaishi ki mungu mungu,
Baada ya m weka z usikie kizungu zungu jinsi ukoloni unafanya mambo mpaka leo,
kuongoza jamii sio kumtawala mkeo,
najiuliza maisha yangekuwaje bila mziki,
hivi mtaani ingekuwa vp ? Ingekuwa mziki ...
(Chorous)
outro yeah chamber squad baby,one love,Tanzania,Muro jr I see ya ......
Till fade
Wimbo wangu Bora wa nyakati zote...wa Albert

Jina la wimboWimbo wangu Bora wa nyakati zote...wa Albert

Maskini wenzanguJina la wimbo
flow ya maudhi(CNN ft fid Q) T.i ft rihanna--live u lifeMwamba nilikuwa namuelewa kinouma Nina..
Nikimwangalia TI namkumbuka Mangwea.mchizi alikuwa anafanana na TI (kimuziki)
Au hamna wanaoimba kama yeye?Hana mpinzani kwa sasa
flow ya maudhi(CNN ft fid Q) T.i ft rihanna--live u life
Dah😢 basi R.i.p CowwizyHana na hatotokea..aliona mbali..aliimba kil a kitu kwa style yake..kila siku namskiliza huyu mtu..hatokuja kua na spea kibongo bongo
CNN ina videoSijui kwann CNN hakuitolea video? dah ni hit
mkuu CNN ina videoSijui kwann CNN hakuitolea video? dah ni hit
Aisee ipandishe mkuu kama unayo mbona siionagiCNN ina video