Albert Mangwea (Special Thread)

kwa maoni yangu mi nilitaka maiti yake ichapwe viboko ili liwefundisho kwa mateja ote na wanao taka kuingia ktk mkumbo huo, binafsi hakuna jema nililo jifunza kwake kamakweli alikufa kwa madawa.
Usimhukumu mtu mkuu,kila mtu ni mdhambi wewe mwenyewe hapo ulipo una dhambi yako kuu ukute ni mwizi,malaya,mfiraji,msengenyi,mzinzi,mlevi,punyetonist,muuaji,nk...yeye hiyo ilikuuwa ya kwakwe hujui aliingia for what sasa unamuhukumu kama nani....kuwa mdhambi haimaanishi huna mazuri Ngwear alikuwa na kitu kwa walioishi nao karibu ndio maana huwezi kukuta. Wanamdiss...masela zake
 
Mangwea yupo overrated ,na amekufa kwenye umaskini mkubwa huku akisifiwa kuwa ni legendary ....how come ? Ngwea ana nn , mara 200 pro Jay au sir nature ,hit zao zinaishi mpak leo .....mziki wa ngwea ni wa mateja na mabaradhuli wa kitaa
 
Maskini wenzangu hii noma sana mkuu ,genius kbsa yule mjamaa
Rip albert
 

Jina la wimbo
 
Wadau kwema? Poleni na majukumu ya hapa na pale.


Kwa jinsi mnavyotazama game la Bongo Fleva. Na kwa uimbaji ule wa Marehemu Albert Magwea,zile flow zake na mashairi. Je kuna Replacement yake imepatikana kweli?

Kuna mtu kavaa viatu vya Ngwea kweli?


NB;Nikifa pengo lango halina spea.(alisema Ngwea kwenye speed 120)

#Forgive Me

 
T.i kaimba ngoma nyingi saaana na ni mkali saana,umesema unamkubari sana T.I?

Tafuta pini lake moja linaitwa GUN AND ROSE FT P!NK🙌🙌🙌🙌 Kama una sabufa kali play uone T.i alivyochana lkn kanyanyaswa sana na huyo dada ni hatari dah🙌
 
Hana na hatotokea..aliona mbali..aliimba kil a kitu kwa style yake..kila siku namskiliza huyu mtu..hatokuja kua na spea kibongo bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…