Kwani rc tulimsaidia wote ama alisaidiwa na kaka mkuu? Huu ujumbe ni wa kaka mkuu. Haendi kwenye misiba ya maprofesa anaenda kumzika kanumba. Kwanza sijui kwa nini hakwenda kumzika ngwear
Kwangu mimi, kusoma wasifu wa marehemu sio WADHIFA. Na unaongea hivyo kwa kuwa hunijui hata kidogo. Sina kawaida ya kupepesa macho wala kung'ata maneno.
Hii jamii imeharibika na utandawazi kiasi mmeona kwamba, usipoweka wave kwenye nywele na kuvaa suruali chini ya ------ basi wewe hujawa kijana. Mnasifiana ujinga na kuyaacha yaliyo na tunu kwenu.
Huyu kafa kwa ujinga wake na sio kwa kukosa dawa kiasi tumzungumzie kwa hisia za kumuonea huruma. Wote tutakufa kwani kufa ni ada, lkn kufa kipumbavu ni dhalili ya utu wako mwenyewe.
Mmejazana pale uwanjani kila mmoja anasema Mungu amuweke mahali pema peponi, mnasema kwa kumaanisha au kwa mazoea?
Wakati Mandela anasema mwanae amekufa kwa ukimwi ina maana hakuwa mstaarabu? Ustaarabu na unafiki ni mambo mawili tofauti. Nikifa kesho kwa ulevi, walioko nyuma yangu na waambiwe ili wajifunze kuwa unywaji wa pombe sio 'wadhifa' bali ni upuuzi...FULL STOP; NUKTA
Mjuni Lwambo hivi wafikiri kunatakiwa tubembelezane kwenye kuonyana?? binafsi huwa naamini kuonya kwahitaji ukali na ni heri kuonyana kuliko kupongezana. Mwana Mtoka Pabaya hajasema kwamba yy ataenda peponi lkn ameonya hakuna haja ya sisi kubembelezana hata kwenye makosa yetu. ingekuwa huyu Ngwea alijirekebisha na kuwa kijana bora basi leo hii tungemsifia sana lkn pamoja na maangazo na mafundisho yote still alikaid je wataka leo hii yasisemwe wazi kwaajili ya kuwasaidia wengine??Unavyoongea kwa kebehi na majivuno ni kana kwamba mwenzetu umeshajihakikishia kwamba utaingia peponi na tayari ulishamhukumu Marehemu kwamba yeye ni wa motoni. Hata kama marehemu alikuwa anatumia unga, je hakuna watu wasio tumia unga na wana dhambi nyingi na kubwa kuliko marehemu?
Nimesikitishwa sana na posts zako za leo.
Mtu akikupiga ngwala akakuangusha kwa lengo la kukuchelewesha mashindanoni, hilo ni kosa lake, lakini wewe uliyeangushwa kuendelea kukaa hapo chini ni UPUMBAVU wako.
Hakuna aliyesema kwamba yeye ni mtakatifu, lakini kuna mambo yapo wazi na si ya kuyaunga mkono. Ngwea hakutumia madawa sababu ya kukosa kwake elimu juu ya madawa bali alitumia madawa kwa fahari ya maisha yake. Watu kuleta madawa ya kulevya si kisingizio cha wewe kuyatumia na kujiita muhanga.
Ashakhum si matusi 'wengine wameleta condom, haya kanunue basi ujamiiane na ndugu zako kwa kuwa si kosa lako ni kosa la walioleta condom sokoni'
Vijana tutumie vyema akili zetu. Yule mpumbavu aliyekufa, ana wapumbavu wengine wengi nyuma yake. Ili wapumbavu mliobaki muelewe dhahama ya upumbavu, ilipaswa sababu ya kifo chake ielezwe pale kwenye kusanyiko na sio kujilizaliza eti Mungu amuweke mahali pema peponi.
Hakuna mtakatifu, lkn jitahidi kusafisha njia zako kadiri uwezavyo. Unafiki ndio unatuponza. Usipende kuelezwa maneno matamu, penda kuelezwa ukweli. Wakati anatumia hayo madawa na kuweka ------ nje wote tuliona ni sawa, ila leo kafa ukweli huo huo haukubaliki.
UNAFIKI NDUGU ZANGU, unafiki mbaya. Issue si ulikufaje, issue ni uliishije. Maisha ya kipumbavu ndio huelezea kifo cha mtu
Mkuu, huwezi kumuonya marehemu, wote tu wadhambi, mwenzetu akitutoka tumwombee kwa Muumba asamehewe madhambi yakeMjuni Lwambo hivi wafikiri kunatakiwa tubembelezane kwenye kuonyana?? binafsi huwa naamini kuonya kwahitaji ukali na ni heri kuonyana kuliko kupongezana. Mwana Mtoka Pabaya hajasema kwamba yy ataenda peponi lkn ameonya hakuna haja ya sisi kubembelezana hata kwenye makosa yetu. ingekuwa huyu Ngwea alijirekebisha na kuwa kijana bora basi leo hii tungemsifia sana lkn pamoja na maangazo na mafundisho yote still alikaid je wataka leo hii yasisemwe wazi kwaajili ya kuwasaidia wengine??
Mmmhh
Sauda Mwilima hapo tena na nguo yenye
kuonyesha maungo ni nini msibani.
Acha kiburi, hivi mama Yako Akifa kwa ukimwi utaichapa bakora maiti yake kwa kua ni muasherati?kwa maoni yangu mi nilitaka maiti yake ichapwe viboko ili liwefundisho kwa mateja ote na wanao taka kuingia ktk mkumbo huo, binafsi hakuna jema nililo jifunza kwake kamakweli alikufa kwa madawa.
ndugu umenena vema -kwa ufupi hatuhitaji na hatuna muda na wenye juhudi na maarifa- hakika safar yetu ndefuWananchi wa nchi hii wanachekesha sana!!! Wale ma-injinia wanaokufa kazini wakijenga maghorofa hawavumi kama kifo cha msanii tena cha kujiua mwenyewe na maulevi yake. Where are we Tanzanians????
Who told you kuwa ukifa dhambini unakwenda kupumzika?!!Mshara wa dhambi ni mauti tena ya milele motoni,
msijidanganye na lugha yenu ya kipuuzi ya R.I.P,hakuna mtu anakwenda kupumzika kama anafia dhambini,
mnataka kwenda sehemu nzuri baada ya kufa Mungu anasema muache dhambi mumpokee Yesu ili muende
hiyo sehemu nzuri hakuna namna nyingine ya kupumzika hata mngezikwa na dunia nzima
Nimesikitishwa sana na huu uzi pamoja na baadhi ya comments za wadau. Kuna watu humu wanajifanya wao ni watakatifu kiasi cha kunyooshea vidole wengine na pia kumlaumu marehemu. Ngwair ni mmoja wa mamilioni ya watz wahanga wa hayo madawa. Kwanini tulaumu wanywaji wa vilevi huku tukisifia viwanda vinavyotengeneza hivyo vilevi?
unadhani ukiandika maneno makali ya dharau na kebeh ndio utaeleweka, wewe huiwezi kazi ya ushauri japo una hoja za msingi..
Luke 6:37, don't judge and you will not be judged, only god can judge him.
kwa maoni yangu mi nilitaka maiti yake ichapw viboko ili liwefundisho kwa mateja ote na wanao taka kuingia ktk mkumbo huo, binafsi hakuna jema nililo jifunza kwake kamakweli alikufa kwa madawa.