Albert Mangwea (Special Thread)

Albert Mangwea (Special Thread)

wewe ndio zezeta namba moja, ulitaka aandike kukufurahisa wewe. kwani ngwair si kafa kwa kubwia unga? au kosa la marehemu condom?

Ahhhha Matola naona mkuu kisharemoviwa
 
Last edited by a moderator:
Namkumbuka kwa kufa akiwa ambwia unga. Amechangia kuharibu vijana kwa kuwa muuza unga,amechangia kuua nguvu kazi na kurudisha nyuma uchumi wa nchi. Hafai kukumbukwa kwa zuri lolote.



😱😕😱😱😕😱
 
ni wachache wanaelewa hapa lipi
ht nikiwa na hela vp kwa ndg na marafiki
vijijini ni asilmia tisini
masikini ni starehe zao ni pombe na ninyi

Sasa mpaka Lin mtakuwa mnanyanyasika na kudharaulika au wenyewe mmelizika.......kuolewa mnahaki walasiite bahati......

PUMZIKA MAHALI ULIPOJICHAGULIA NGWAIR....NAKUKUBALI DAIMA
 
Sasa mpaka Lin mtakuwa mnanyanyasika na kudharaulika au wenyewe mmelizika.......kuolewa mnahaki walasiite bahati......

Ivi we unadhani mi wanangu ntalea na nani?
Sema tu wengi wenu ni vicheche japo sio...

RIP Ngwair nyuma yako mbele yetu.
 
ule wimbo wake wa KAMA NI DEMU SIKULIZA NA KAMA UNASWALI ULIZA, ametoa elimu kubwa sana kwa wanawake kuto kujiona ni dhaifu na hawawezi kitu. Kama kuimba imbeni msione noma.
wenzenu wachache bungeni si munawaona?
 
Leo ni miaka mitatu tangu bingwa wa michano na mkali wa muziki wa kizazi kipya mwenye kipaji cha kipekee Albert Mangwea atutoke.

Ni mazuri yapi unayokumbuka kutoka kwake?


Mimi nakumbuka siku anachukua tuzo ya Kili akatoa speech kwa mtindo wa freestyle.

Pia, nakumbuka wimbo wake remix ya Marques Houston, Clubbin aliufanyia cover ya kiswahili.

RIP CowObamma
 
Back
Top Bottom