bombei_safaya
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 311
- 286
Namkumbuka langa nnapomwona kaka voda,salamu kwa chid chapo pongez kula cha mtambo luangwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ni miaka mitatu tangu bingwa wa michano na mkali wa muziki wa kizazi kipya mwenye kipaji cha kipekee Albert Mangwea atutoke.
Ni mazuri yapi unayokumbuka kutoka kwake?
Mimi nakumbuka siku anachukua tuzo ya Kili akatoa speech kwa mtindo wa freestyle.
Pia nakumbuka wimbo wake remix ya Marques Houston, Clubbin aliufanyia cover ya kiswahili.
RIP CowObamma
The blame should go to Zizzou fashion.. Katuaribia vichwa vyetu vingi sana.. Ngwair Chidi Blue Bushoke ooops thanks to Magufuli kwa kupunguza awa wauaji mtaani.Nakumbuka Kinjekitile na biashara yake.
Nani alipitisha sheria inayosema marehemu hasemwi kwa mabaya!? So kila kitu kifichwe tu hata kama yaliyofanywa na marehemu gizani yanaweza kuwa msaada kwa walio hai wasiyarudie!!...nadhani,kuna watu wana vijipu uchungu vya miku..d.u...marehemu hasemwi kwa mabaya nyie mbulumundu!
....afterall,mada inataka ni mazuri yapi unayakumbuka!
..ujuaji wa kijuha..ajidhaniaye amesimama ajitazame sana asije akaanguka!
"Wengine mnapenda sana vya kupewa ndomana wengi wenu mnaishia kuchezewa
"Mnamegwa mnaachwa na hata mkiolewa (yeah..)
"Ndoa inajaa visa na kuonewa
"Mfano ngwea narudi muda ninaotaka na ukiniletea kibesi tu asubuhi talaka
"Si najua huna kitu zaidi ya begi lako
"Ila nisingethubutu endapo nyumba ni yako
"Najua hamuwezi kwenda haja ndogo mmesimama
"Ila mna uwezo wa kufanya kila cc tunachofanya
"Hata kuwa raisi mwanamke pia ana haki mradi tu awe na vigezo...mengine tutapata wapi
"Kama kusoma wote ruksa kusoma
"Bado biashara hata ufundi wa kushona
"Wenzenu wachache bungeni c mnaona
"Hata kuimba imbeni tu msione noma
"Kama sister P, Zay B,Stara,Ray C
"Je hamwezi kuwa mabinti kama Lady jaydee?(komandooo)
"Amini wote tumezaliwa watupu na kupata hutokana na juhudi tu za mtu
Hala