Albert Mangwea (Special Thread)

Albert Mangwea (Special Thread)

Mziki huishi milele, utadhani huo wimbo ni wa jana kumbe miaka imekatika....R.I. P Mangwea
 
Write your reply...sasa unakuta eti watu wanamfananisha ngwair (rip) na huyu ngosha fid q!
eti fid q ndo mwanahip hop wa muda wote! 😂😂😂
 
M.A.P
images (65).jpg
 
Kuna ngoma moja kaimba na tid, inaitwa she performs, mwenye nayo anipe, hata link
 
Wana chamber mnaona muda shaa unayoyoma

Ngwair alikuwa talented levo nyingine kabisa

Katika siku nilizowah kuwaza ujinga ni siku aliyokufa

Niliwaza Kwa nini M2tha P ndo asingeenda ? (bro M2P utanisamehe kama utaona hii comment


Mwaka 2015 M2the P akatumia siku ya kumbukumbu ya Ngwair kuachia kibao chake, nilihairisha kila kitu ili nimsikie, nikaona anaimba umbufi tu nyimbo ya bata bata, Nikajisemea moyon lait kama Israel Mtoa roho angekosea hesabu siku ile then leo (hyo siku) Ngwair ndo awe anahojiwa kwa mara ya kwanza tangu ampoteze mchiz wake na tangu anusurike na mauti, Ukute Kuna Bonge la Ngoma lingetambulishwa leo,

Matokeo yake ni huu uchafu nao usikiliza

Ila kwenye Bwii M2the P ulijitahid kias
 
Back
Top Bottom