Albert Msando Ajiunga CCM leo

Nao ni njaa tu zinawahamisha
Mtu akitoka upinzani kwenda CCM anakuwa na njaa au kanunuliwa ila mtu akitoka ccm kwenda upinzani hasahasa chadema anaitwa shujaa na kamanda mpiganaji....hizi ni siasa za maji taka
 
Alianza kuhama CHADEMA then ACT WAZALENDO NA SASA CCM JE AKITOKA ATAKWENDA WAPI?
 
Walio toka upinzani na kwenda ccm hii Leo ni Masha,msando,kitila mkumbo pamoja na alie kua mwenyekit wa bavicha
 
Jamaa mambo hayaendi istoshe ofisi yake ya sheria kama imekufa tu hana makampuni aliyapoteza kitambo kwa usanii wke,ila huko kunamfaa asije akafungiwa bar yake
 
Mtu akitoka upinzani kwenda CCM anakuwa na njaa au kanunuliwa ila mtu akitoka ccm kwenda upinzani hasahasa chadema anaitwa shujaa na kamanda mpiganaji....hizi ni siasa za maji taka
Conclusion yako inaonyesha uwezo mdogo wa kuchambua mambo. Kwani hujui fedha iko CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…