Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ujie HANA njaa.Mmh njaa mbaya jamani angebaki tu huko huko si ana ajira ya sheria pia
Una hakika na unayoyasema au ndio kuiga tu usemi wenu wa kipuuzi nani ana njaa kati yako na Msando,acheni kudandia maisha ya watuMmh njaa mbaya jamani angebaki tu huko huko si ana ajira ya sheria pia
Nahisi hii ndio sababu kuu maana ambacho kingefuata ni the Don kupigwa kufuli na Yono kwa kubambikiziwa kesi ya kodi au sababu yeyote mbaya ikiwemo kuchomewa pub!Jamaa mambo hayaendi istoshe ofisi yake ya sheria kama imekufa tu hana makampuni aliyapoteza kitambo kwa usanii wke,ila huko kunamfaa asije akafungiwa bar yake
Kuna mengi plus hayo istoshe kazi nyingi za makampuni alipoteza toka 2014 pia exim arusha walimtupa kwenye case zao alikua hovyohovyo 2Nahisi hii ndio sababu kuu maana ambacho kingefuata ni the Don kupigwa kufuli na Yono kwa kubambikiziwa kesi ya kodi au sababu yeyote mbaya ikiwemo kuchomewa pub!
Ndio alikuwa anazitegemea niniKuna mengi plus hayo istoshe kazi nyingi za makampuni alipoteza toka 2014 pia exim arusha walimtupa kwenye case zao alikua hovyohovyo 2