Albert Msando Ajiunga CCM leo

Amewahi kuhama maana NHC Arusha walikuwa wamfanyie kwenye Pub yake (The Don) kama walivyomfanyia Mbowe pale Bilicanas ndio akapewa option ya kujiunga Chama cha Wehu ili mambo yake yawe salama.
 
Mmh njaa mbaya jamani angebaki tu huko huko si ana ajira ya sheria pia
Una hakika na unayoyasema au ndio kuiga tu usemi wenu wa kipuuzi nani ana njaa kati yako na Msando,acheni kudandia maisha ya watu
 
Jamaa mambo hayaendi istoshe ofisi yake ya sheria kama imekufa tu hana makampuni aliyapoteza kitambo kwa usanii wke,ila huko kunamfaa asije akafungiwa bar yake
Nahisi hii ndio sababu kuu maana ambacho kingefuata ni the Don kupigwa kufuli na Yono kwa kubambikiziwa kesi ya kodi au sababu yeyote mbaya ikiwemo kuchomewa pub!
 
Nahisi hii ndio sababu kuu maana ambacho kingefuata ni the Don kupigwa kufuli na Yono kwa kubambikiziwa kesi ya kodi au sababu yeyote mbaya ikiwemo kuchomewa pub!
Kuna mengi plus hayo istoshe kazi nyingi za makampuni alipoteza toka 2014 pia exim arusha walimtupa kwenye case zao alikua hovyohovyo 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…