Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Hii ameandika kupitia ukuta wake wa Instagram.
Ni Tanzania pekee Miss Tanzania anaulizwa kuhusu taarifa tofauti kwenye Passport, Leseni ya Udereva na Cheti cha Kuzaliwa anajibu kwamba hilo ni suala binafsi!!
Sasa mtu unaenda kuwakilisha NCHI na kudai utailetea sifa huku ukiwa na tuhuma kwamba umedanganya kuhusu umri ili ushiriki lakini unatoa majibu ya kitoto ili uonekane mtoto?
Labda tuiweke hivi. Ni kweli Sitti amezaliwa 1991 kama cheti chake KIPYA kinavyoonyesha. Pia ni kweli aliweza kupata cheti KIPYA cha kuzaliwa bila kutoa taarifa polisi kwamba cha zamani kimepotea. Tanzania inawezekana!!!
Je si kweli amedanganya kwa kutoa taarifa tofauti kwenye Passport na Leseni yake huko nje? Au ukiwa Marekani unaruhusiwa kudanganya na ukirudi hapa inakuwa poa tu?
Je kuna watu wanataka tuamini kwamba kilichotakiwa na Kamati ni Cheti cha kuzaliwa BASI kama kuna ushahidi mwingine unaopingana na Cheti hicho sio kazi ya Kamati!!
Ili kufanya mashindano haya yaheshimiwe na kuondoa maneno ambayo Kamati inasema ni shutuma za kipuuzi basi wangesema ukweli.
Wangetoa maelezo ya kina kuhusu taarifa tofauti za tarehe ya kuzaliwa kwenye Cheti, Passport na Leseni.
Hata kama alighushi ili apate kazi na aruhusiwe kuendesha gari Marekani basi waseme hivyo. Huwezi kuhalalisha uongo kwa kusema uongo zaidi!!
Huwezi kuita hizo shutuma ni umbea, chuki au upuuzi.
Hiyo ni dharau kwa waliolipa kiingilio na sisi ambao tunatamani kuona nchi yetu iking'aa kwenye anga za kimataifa!!
Its only light that can chase away darkness.... Kwa majibu ya leo kuhusu shutuma dhidi ya Ms Tanzania basi tunaenda kubaya!
Tulianza kudanganya na kutoa majibu mepesi kwenye kughushi vyeti, mikataba, matokeo ya mitihani, matokeo ya uchaguzi sasa kwenye michezo!!! #Basata #ShambaLaBibi #MajibuMepesi #Tanzania
Karibuni wadau Cc: Matola, King Kong III warumi?

Last edited by a moderator: