Albert Msando atoa maoni juu ya majibu ya miss Tanzania na Lundenga

lundenga amemonopolize shindano
kwa kweli mimi binafsi toka 98 Basila mwanukuzi alikua miss nlianza kuangalia mpaka mwaka huu ila kwa upuuzi wa lundenga na bibi bomba wake nimejivua rasmi kuangalia shindano hilo

Richa adhia ilikua mwisho wangu nilishaona dalili kama hizi nikajitoa..na wala siwez angalia tena haya mambo
 
daaah eti ludenga anasema kuongea kifaransa kwa sitti ilikuwa ni moja ya njia ya kuwa approach majaji ...sasa ningependa miss tanzania ijayo mmoja wapo aongee kikabila kama ni muhehe au mchaga au msukuma aongee kisukuma..........
 
Watu ni noma kwa kufananisha matukio hebu soma hiyo picha chini then sikiliza maneno ya dj Khalid kwenye nyimbo yake ya hold you down
 
Hakusafisha tuhuma. .zaidi kaleta maswali tu
 
Hahaaa raha sana, say may name nyaluhusa87 "mwamfupeeeeeee"
 
daaah eti ludenga anasema kuongea kifaransa kwa sitti ilikuwa ni moja ya njia ya kuwa approach majaji ...sasa ningependa miss tanzania ijayo mmoja wapo aongee kikabila kama ni muhehe au mchaga au msukuma aongee kisukuma..........

Hivi kuna jaji alikuwa anajua hiko kifaransa kweli? Au ndio mbele kwa mbele hata kama aliongea utumbo
 
Mzee Lundenga ndipo ulipogotea uwezo wake wa kufikiri. Anadhani watanzania wote wana akili sawa na wale mashabiki wa chama chao wenye akili za maiti.

Nae ndio mwisho wake....
 
Lundenga kashaanza kufikiri kama hao warembo
 
Last edited by a moderator:
siku aliposhnda babake alisema ana masters Lundenga anasema ana degree,ila wanajitahd kuongopa aiseee!
 
Bibi Bomba Huyu kafanya sana ufuska huko Marekani Leo eti mnatuletea abebe taji la heshima Kwa watanzania wote
Huu kweli ni upuuzi uliotukuka
Hapa Nina hasira sana na Ludenga na kuwaonea huruma wale majaji wote walio na akili fupi
#bongobound
 
kwani hakuna mshindi wa pili? kwanini asipewe huyo?, au aende kwanza mahakamani hii issue ndo ataisolve!
 
Mimi nimejitolea kwenda kwa mguu ubalozi wa Uingereza Counsular section kuwakabidhi vielelezo vya fojari hii with dispatch book halafu tuone kama Uingereza huwa inatowa Viza kwa mijitu inayofojifoji.

Cc: Pasco

Yeah....Tupambane na huu ufisadi.
 
Hivi si kuna wakati walimpitisha mhindi wakasema ni msukuma? au napoteza kumbukumbu, nisaidie kunikumbusha
 
mjadala huu hauna tija kwa taifa...

Karibu jukwaani mh. Mtemvu.
Hivi kweli mheshimiwa unamnadi mwanao kwa wakware kisa pesa, tutaaminije watoto wetu unaowapeleka mashariki ya kati huwapigi bei pia? Hivi na ile "Noah Nyeusi" ni yako? Mbona iko jimboni kwetu tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…