Albert Msando atoa maoni juu ya majibu ya miss Tanzania na Lundenga

Hata jinsia unaweza kukuta kafoji.

Mi nitamuona mjanja akifoji ushindi aje na taji la miss world
 
kwa hiyo mlilipa kiingilio kuona huu usani?Kufoji vyeti lazima mlipe kiingilio?Na ninyi wadhamini,mmekubali kazi nzuri ya usanii wa kufoji mpaka mmetoa udhamin?
 
watu wanashupaliaaa vitu wakati unakuta wao ndio mabingwa zaidi wa kudanganya umri kushinda hata huyo sitti mtemvu
Sasa si kakamatwa yeye???...
Ebooooo...... wakikamatwa na wengine itakuwa poa vile vile lkn wanapodakwa watu km hawa wauza sura ndo inakuwa poa zaidi
 
Ngoja nizipakie lager kwanza ujinga unitoke nitarudi hapa kwa miss Bibi bomba. Nimeshawahi seat ya mbele kabisa.

Kwa kuwa ameonyesha udhaifu katika kujibu, na kwa kuwa anaonekana ni mwongo kupita kiasi basi tupeleke tuhuma hizi ubalozi wa marekani asirudi huko kwa kuwa ni bingwa wa kufoji na kusahau, anaweza akawa hata alshabaab.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…