Albino Flani amtoa machozi Salama Jabir..

ma2mbo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
697
Reaction score
326
Naangalia kipindi cha Mkasi hapa EATV,mtangazaji wake kauzu ile mbaya Salama J namuona analengwa na machozi baada ya kuguswa na masimulizi ya kusikitisha ya Msanii wa bongofleva Albino Flani..ndio mara ya kwanza namuona Salama anaongea ameshika shavu uku akifinya vidole tangu kipindi kinaanza hadi kinaisha..
 
Nini kimemkwaza mpaka Salama alengwe na machozi.
 
Funguka wengine atujakiangalia hicho kipindi funguka nini kilichomfanye alie na hizo story za albino? Alibakwa albino au alitaka kuuliwa albino?
 
duh! Yule bwana ni mwanabongoflevar sikujua ndugu.!!!
 
ni stori kuhusu a tanzanian musician anaitwa albino flani anaishi marekani...jamaa he is true inspiration..anasimulia jinsi anavyosaidia maalbino kama yeye ambao walikosa nafasi na matatizo aliyopitia...msanii anajielewa..big up Mkasi tv na salama
 
Nini kimemkwaza mpaka Salama alengwe na machozi.

aisee yule msanii Albino Flani alikuwa anatoa historia ya maisha yake kabla ajaenda marekani na baada ya kurudi bongo,kwa kweli ilikuwa inaskitisha sana..haswa anavyoeleza kuhusu kugulika na ugonjwa ambao ungemuua baada ya miaka mitatu kama angechelewa kidogo.
 
ni stori kuhusu a tanzanian musician anaitwa albino flani anaishi marekani...jamaa he is true inspiration..anasimulia jinsi anavyosaidia maalbino kama yeye ambao walikosa nafasi na matatizo aliyopitia...msanii anajielewa..big up Mkasi tv na salama

alinigusa sana alipoelezea kuwa alikataliwa na wazazi wa mchumba wake siku anaenda kutambulishwa..demu alipojifanya analazimisha akapewa kipondo cha kufa mtu tena uku yeye anashuudia..kwa kweli ukiwa kama binadamu mwenye ulemavu inaumiza sana.
 
Funguka wengine atujakiangalia hicho kipindi funguka nini kilichomfanye alie na hizo story za albino? Alibakwa albino au alitaka kuuliwa albino?

yani ameongea mengi sana ya kusikitisha mkuu..ikiwemo ilo la kuuliwa wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…