ma2mbo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 697
- 326
Naangalia kipindi cha Mkasi hapa EATV,mtangazaji wake kauzu ile mbaya Salama J namuona analengwa na machozi baada ya kuguswa na masimulizi ya kusikitisha ya Msanii wa bongofleva Albino Flani..ndio mara ya kwanza namuona Salama anaongea ameshika shavu uku akifinya vidole tangu kipindi kinaanza hadi kinaisha..