Album gani ya Bongo ni kali zaidi kwako?

#TBT

Album gani ya Bongo hasa zile za kitambo ilikuwa kali kiasi cha kushindwa kuskip hata ngoma moja. Najua Album zilikuwa zimeenea sana..

Mimi Album ya A.K.A Mimi ya Albert Magwair kwangu mpaka leo tamu. Nambie kuhusu ww mdau?

#forgive Me.

VINA MWANZO KATI NA MWISHO BY FID Q
 
FUNGA KAZI haitotokea tena kwenye kwenye historia ya HPHP tanzania ni album bora kwangu kwa miaka yote! HARD BLASTERS CREW
 
Zamani kulikua na muziki kweli! Siku hizi janja janja tu!

Mtu mzima kama
1. Mr 2
2. Solo Thang
3. Jay MO
4. Afande Sele
5. Prof Jay
7. Mike Tee

Na wengine wengi! Was fire kweli kweli

Unawajua hard blasters wewe na funga kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…