Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya conde gengiWakuu naomba muisake album mpya ya Harmonize-High school ni moto wa kuotea mbali,,, hakika this guy is talented
Unaumia ukiwa wapi......Utopolo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna hakuna I go die for u, u de bast my mind, na evlibade. Itakua bonge la album
harmonize akiacha kuimba majungu ni bonge la msanii
Sijaiskiliza ila sema tu kacheza naAlbum imetoka leo tayari ikiwa na nyimbo 20 inapatikana kwenye platform zote, album ni kali sana.
View attachment 1999060
"Majumgu andika kwa Dela watu wanataka muziki"Album nzima majungu tuu
Sijaiskiliza ila sema tu kacheza na
I go die for you
I go fight for you
I go be your panado...?