Alcatraz: Gereza hatari katika ulimwengu

Alcatraz: Gereza hatari katika ulimwengu

Bila picha itakua gahawa tu

1587065053795.png

1587065115470.png
What happened to Frank Morris from Alcatraz?
In 1962, inmates and bank robbers Frank Morris and John and Clarence Anglin vanished from Alcatraz, the federal island penitentiary off the coast of San Francisco. They had used sharpened spoons to bore through the prison walls, left papier-maché dummies in their beds and floated away on a raft made from 50 raincoats.
June 1962 Alcatraz escape attempt - Wikipedia
 
Alijinyonga vipi na mikono ilkuwa imekatwa!?

Screenshot_20200419-070929.jpg

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
 
Jela ngumu na hatari naona zipo Mexico, Bolivia, Venezuela, Colombia na Asia za Malaysia, Sri Lanka na jirani zake huko.

Mana Kule msaada wa Askari n kukufungulia mlango wa geti kuu tuu Mambo ya kula, sijui utaishije unayajua mwenyewe Mana Kule unakuwa huru gerezan hata kulala na mwanamke Kama unae shida n usalama wako binafsi Yan mfungwa mwenzio anaimiliki genge la wahuni jela na silaha Kama bunduki, bastola, mapanga na vizu na ushenz wowote ule.

Naona haya n spesho kwa wauza unga hvyo wabongo ambao mnapenda kuwa punda kamwe epuka Kaz za sehemu hzo Mana Kule kiukweli Sion uvumilivu wa mbongo kuvumilia.
 
Back
Top Bottom